Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.

Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.​

b1.png
 
View attachment 3076821
Nipe code na chimbo ilo🤣
 
Unayo full support yangu Mkuu, kuna watu wanalazimisha definition yao ya maisha ya mafanikio kila mtu aitumie iyo iyo. Kuna wengine mambo ya kujenga nyumba ya kuishi sio mafanikio kabisa, maisha mafupi haya. Muhimu ni kuweza kujimudu na kupigilia misumari tu.
 
Back
Top Bottom