Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Unayo full support yangu Mkuu, kuna watu wanalazimisha definition yao ya maisha ya mafanikio kila mtu aitumie iyo iyo. Kuna wengine mambo ya kujenga nyumba ya kuishi sio mafanikio kabisa, maisha mafupi haya. Muhimu ni kuweza kujimudu na kupigilia misumari tu.
Tufanye ya muhimu, lakini tukumbuke kuna kuishi pia
 
Mwe
Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.

Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.​

View attachment 3076821
Mwenzio kenzy kapigwa huko na lishangaz bado wewe
 
Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.

Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.​

View attachment 3076821
Kwa hiyo huyo ni mshangazi?🤔
 
Mishangazi inatakaga watu aina fulani . Kama wewe ni ile serious type Good night
 
Haha
Kuna staili zao ziko powa sana
Hizi ndio vitu vyangu
IMG_20240806_235211_333.jpg
 
Back
Top Bottom