Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Mionekano ya warembo inaniacha hoi

Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.

Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.​

View attachment 3076821
Tumikia nyege tu baba
 
Back
Top Bottom