nyie tutol
nyie wajinga. yaani mnataka kutuaminisha kuwa kipindi cha Mzee magufuli tulikuwa tunaishi peponi. kumbe maisha yalikuwa magumu tu na ndoo tukaja na msemo "wavyuma vimekazaa" . Acheni hizo bwana mama ni mpambanaji tunaona sana mafanikio yake ndani ya miaka yake hii minneKwanza samia ajiulize mwenyewe kama sio kifo cha jpm yeye angekua na nafasi gani kua rais wa nchi hii. Kwa uhakika yeye hakua chaguo la jpm kumrithi. Hakufiti kiitikadi kwa Magufuli kwa sera yake iliyojikita kwenye misingi ya ujamaa ya kujali maslahi ya umma na kujali wanyonge. Mama wala hana ujasiri uadilifu na uzalendo uliyoipaisha tanzania chini ya Magufuli. Samia ajitambue tu kama rais kwa katiba. Uzalendo wake utaonekana kwa kulisaidia taifa kupata kiongozi ajaye aina ya Magufuli. Akifanya hivyo atakumbukwa kwa heshima kubwa.