HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Samia Suluhu 'Hassan'
Hussein Ali 'Hassan'
Mbona inafikirisha kidogo?
Hussein Ali 'Hassan'
Mbona inafikirisha kidogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa uorodheshe mambo tangible ambayo kayafanya tangu aingie madarakani umebaki kuimba ngonjera tuMitazamo kinzani inapelekea kuitwa kila majina mabaya Mimi Sina CHAMA inshort.
Mama Samia sio mbaya kihivyo mnavyo taka kumu portray japo hakuna mkamilifu isipo kua mwenyezi Mungu pekee
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Pinga kwa hoja sio kwa chuki. Wewe hapo ulipo umefanya nini kabla aujahoji samia kafanya nini ?Kwani wewe ni mkwe ?
Mbona unaniwekea Maneno mdomoni?Pinga kwa hoja sio kwa chuki. Wewe hapo ulipo umefanya nini kabla aujahoji samia kafanya nini ?
Utakuta huna cha kuonesha kama mfano wa utendaji bora. Hivi nyie mnaopinga huku mitaani mnafanya nini la maana ? Ukiona Raisi hana cha maana alichofanya ina maana hata wananchi wa chini hakuna cha maana wanachofanya, nchi inaanza na wanachi.
Unalipa kodi sh ngapi ?
Hao maraisi mnaosema walifanya nini kikubwa ? Mbona umasikini upo vile vile awamu zote ?
Kuna awamu ambayo kila mtanzania alimudu chakula mavazi tiba makazi nk kwa 100% ?
Pinga kwa hoja sio kwa chuki. Wewe hapo ulipo umefanya nini kabla aujahoji samia kafanya nini ?
Utakuta huna cha kuonesha kama mfano wa utendaji bora. Hivi nyie mnaopinga huku mitaani mnafanya nini la maana ? Ukiona Raisi hana cha maana alichofanya ina maana hata wananchi wa chini hakuna cha maana wanachofanya, nchi inaanza na wanachi.
Unalipa kodi sh ngapi ?
Hao maraisi mnaosema walifanya nini kikubwa ? Mbona umasikini upo vile vile awamu zote ?
Kuna awamu ambayo kila mtanzania alimudu chakula mavazi tiba makazi nk kwa 100% ?
Mie sio mwanachama wa chama chochote. Ni muumini wa facts. Ukisema SSH hajafanya chochote , je ni fact au sio fact. Nadhan mnaamini sana opinion kuliko fact. Ukiweka data kusapoti hoja nami ntaungana nanyi.Sasa imekuwa ni personal attacks tena ? 😆😆
Ukiwa mlafi usiwe mchoyo.
Ulete mada badała ya kujibu maswali una-panic , inamaana unataka sote tuwe Chawa wa kusifu na kuabudu ?
M
Mie sio mwanachama wa chama chochote. Ni muumini wa facts. Ukisema SSH hajafanya chochote , je ni fact au sio fact. Nadhan mnaamini sana opinion kuliko fact. Ukiweka data kusapoti hoja nami ntaungana nanyi.
Kuhusu kuku attack sio lengo bali ni kukumbusha tu, kuwa nchi haijengwi na Raisi bali wananchi.
Ningewea kuungana nawe iwapo hoja ingekuwa SSH hasimamii vizuri kodi zetu japo ningehitaji data na mlinganisho na maraisi waliopita.
Thomas wa biblia alihitaji uthibitisho kuwa Yesu kafufuka vipi karne hii ya 21 tusihitaji uthibitisho
Bungeni kuna mbunge kasema kuna wodi wanalala wanaume, wanawake na watoto spika alimdai uthibitisho.
Umenena kweli kabisa. lakini umejinunulia ugomvi na mazwazwa pro SGR watakuja na mapambio ya kipuuzi.Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Sure, hakuna kipya cha kushangaza. Hata Rais wako Samia, Nape, yule DC na wengine wengi kwenye huo ukoo wenu wanasema hivyo hivyo: ushindi wa CCM ni lazima, au sio?Kipande (CCM) vs Wapinzani lazima ccm ishinde tuu.
Hapa namtetea.Mimi binafsi kwenye uongozi wa SSH ukiniuliza kitu tangible alichofanikiwa kutuachia waTZ ni Royal Tour, Samia Stadium na Kizimkazi Festival, na hivyo vyote nyuma Yake vina ufisadi wa kutisha
AiseeJeshi likilidhiria anapita mbona?
Uzuri kwa nchi yetu Rais anawekwa madarakini na Jeshi siyo eti na wananchi kwenye sanduku la kura!
Lucas MwashambwaMbona chawa wanatuambia wananchi wanabubujikwa na machozi ya furaha?
Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
Hivi kumbe na wewe huwa una Akili? Big up broo Leo ndo nmeelewa maana ya msemo "usimkatie mtu tamaa"Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Hoja zako ni nyepesi sana,labda kwa kukuhurumia tukununulie miwani itakayokuwezesha kuona mambo makubwa ambayo Mheshimiwa Samia ameyafanya tangu amekuwa raisi wa nchi hii,halafu tuhuna za hela za Mikopo kihamishiwa Zanzibar huo ni uwongo tena hata ushahidi huna.Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.