Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia yupo hadi 2030. Kama hutaki hamia Burundi. Wenye akili wameshaona kazi zilizofanywa na Mama Samia. Atashinda kwa zaidi ya 90% kwa sababu wapinzani wako dhaifu mno.
 
We bro
hakuna alichofanya ?
SGR umeijenga wewe ?
Tanzania nzima kuna mradi wa darasa ya A level umejenga wewe ?.
Vituo vya Afya vinaendelea kujengwa.
Mtandao wa umeme wa REA unaendelea kujengwa.
Form six wanasoma bure.
Mwanafunzi wa chuo wanaendelea kupata mikopo.
Watumishi wanapanda madaraja kwa wakati.
Ajira zinaendelea kutolewa tena kwa haki.
Ruzuku inaendelea kutolewa kama kawaida
Bwawa la umeme limekamilika.
Yaani mama SSH anatenda kama maraisi wengineo. Kujenga kizimkazi sio kosa maana napo ni Tanzania hata wewe ukihamia huko utanufaika na hio miundombunu.
CCM wapo jikoni kukusanya taarifa zote za miradi aliyofanya mama SSH utaipata sooon kabla ya uchaguzi.
Kumbuka anaejenga nchi sio SSH ni mwananchi. Kwa hio zalisha ili maendeleo yapatikane.
Kinachokusumbua ni mfumo dume.
Watu wengi walidhani SSH atashindwa kuendesha nchi kumbe walijidanganya nchi haiongozwi na mtu mmoja, nchi ni mfumo. Raisi akifeli basi ni mifuumo mibovu ya nchi.
Mfano anaekusanya kodi ni TRA na kuziwasilisha hazina. Hazina wanatekeleza bajeti iliopangwa na bunge.
Hebu jaribu kuwa analytical zaidi sio kulaumu tu bila data za kutosha.
Niishie hapa.
 
Haiondoi ukwel kuwa HANA LA MAANA ALILOFANYA SAMIA
Hakuna raisi yeyote asiye laumiwa popote ulimwenguni na hata mwenyezi Mungu angekua anaonekana yaan kungekua na misururu ya watu wenye shida mbali mbali wangemwandama na kumlaumu sanaa

Hakuna kitu kinacho laumiwa Kama SERIKALI mwanao akidaiwa ada, ukikosa huduma hospitalini, ubovu wa miundombinu barabara, umeme,maji, ajira N.k

Usitegemee serikali ikuletee sahani ya chakula chako na familia yako mezani TUFANYE KAZI kila mtu akiwa responsible kwa nafasi yake lawama zitapungua Sanaa

Wasalaam
 
Ulichofanya ni utetez wa maneno matupu , hujaeleza fact yoyote ku disqualify hoja ya mdau.
 
Back
Top Bottom