Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Njoo tuinywe.
Mama Kizimkazi Kavuruga biashara yako Mkûu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tuinywe.
Wao huwa wanajitambulisha ni wazanzibar na walifika mbali zaidi kwa kutaka tuingie kwao kwa visa.Zanzibar ni Tanzania pia
Umesema 😅Usipoteze mda wako Mzee,nyie simamisheni Wapinzani wenu na unganeni ila Urais mtaishia kuusikia ,hata wasimamishe Jiwe na Wapinzani hamshindi achilia mbali SSH.
Kipande (CCM) vs Wapinzani lazima ccm ishinde tuu.Umesema 😅
Uhalisia tuu huo,Ndio mlivyo karirishwa!?
Angalia tu usitenguliwe u-DC.Kipande (CCM) vs Wapinzani lazima ccm ishinde tuu.
Kwa nini?Angalia tu usitenguliwe u-DC.
Kwa faida ya Nani?? Wananchi? Au genge la CCMUsipoteze mda wako Mzee,nyie simamisheni Wapinzani wenu na unganeni ila Urais mtaishia kuusikia ,hata wasimamishe Jiwe na Wapinzani hamshindi achilia mbali SSH.
Wananchi wanachagua Rais Kwa Tzn?Kwa faida ya Nani?? Wananchi? Au genge la CCM
Kama huoni utakua na matatizo ya akili ukapimwe.maana hata ingekuwa wewe ndio Rais haiwezekani ukae miaka minne halafu tukwambie hakuna ulichofanya pamoja na huo ukichaa wako.Ya maana kama yapi?
Embu wewe uliyoyaona tutajie tafadhari.Kama huoni utakua na matatizo ya akili ukapimwe.maana hata ingekuwa wewe ndio Rais haiwezekani ukae miaka minne halafu tukwambie hakuna ulichofanya pamoja na huo ukichaa wako.
Wananchi wanapata huduma za afya huko vijijini na mijini, maji , elimu , pembejeo za kilimo , SGR , Barabara n.kEmbu wewe uliyoyaona tutajie tafadhari.
Wananchi ni wapiga kura Mara zote uchaguzi wetu ni rigged.Wananchi wanachagua Rais Kwa Tzn?
Haiondoi ukwel kuwa HANA LA MAANA ALILOFANYA SAMIAHamnaga jema walimwengu (wali + mwengu) Bora wali NYAMA kuliko wali mwengu..
Hakuna raisi yeyote asiye laumiwa popote ulimwenguni na hata mwenyezi Mungu angekua anaonekana yaan kungekua na misururu ya watu wenye shida mbali mbali wangemwandama na kumlaumu sanaaHaiondoi ukwel kuwa HANA LA MAANA ALILOFANYA SAMIA
Ulichofanya ni utetez wa maneno matupu , hujaeleza fact yoyote ku disqualify hoja ya mdau.Hakuna raisi yeyote asiye laumiwa popote ulimwenguni na hata mwenyezi Mungu angekua anaonekana yaan kungekua na misururu ya watu wenye shida mbali mbali wangemwandama na kumlaumu sanaa
Hakuna kitu kinacho laumiwa Kama SERIKALI mwanao akidaiwa ada, ukikosa huduma hospitalini, ubovu wa miundombinu barabara, umeme,maji, ajira N.k
Usitegemee serikali ikuletee sahani ya chakula chako na familia yako mezani TUFANYE KAZI kila mtu akiwa responsible kwa nafasi yake lawama zitapungua Sanaa
Wasalaam