Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Zetu tu ndio chai mkuu 😅😅
Huyo mtoa Mada ni mpika alkasusu na gahawa maarufu Hapo Magomeni mapipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zetu tu ndio chai mkuu 😅😅
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah kuna mtu anawachokoza huku....Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Mkuu,Ila alikua ana nafasi kubwa mno ya kushinda kwa sababu ya kuwa tu mwanamke, angecheza kama Pele angevunja rekodi .
Tena uchokozi mkubwa sanaLucas Mwashambwa Tlaatlaah kuna mtu anawachokoza huku....
Ashinde tu , kama wananchi wataunga mkono sioni cha kuongeza hapo mkuu.Mkuu,
Lazima mama Samia ashinde kwa kishindo hata kwa bao la mkono Kama la nauye.
Ukisha kua mwenyekiti wa CCM na amiri JESHI mkuu (Jemedari)
Kitatengenezwa kiini macho hii nchi tunaijua Wacha mchezo..
Uko sawa 100%Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Usipoteze mda wako Mzee,nyie simamisheni Wapinzani wenu na unganeni ila Urais mtaishia kuusikia ,hata wasimamishe Jiwe na Wapinzani hamshindi achilia mbali SSH.Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Kabisa ila kuna kitu kavuruga mwenyewe .Ila alikua ana nafasi kubwa mno ya kushinda kwa sababu ya kuwa tu mwanamke, angecheza kama Pele angevunja rekodi .
Ndio mlivyo karirishwa!?Usipoteze mda wako Mzee,nyie simamisheni Wapinzani wenu na unganeni ila Urais mtaishia kuusikia ,hata wasimamishe Jiwe na Wapinzani hamshindi achilia mbali SSH.
Hayo mazuri labda ya kufikirika sana kama yapo.Pengine kuna mazuri amefanya ila huyu Mama hana ki smart cha kupendwa kusema ukweli huku mtaani hawamuelewi kabisaaa yaani kazi atakuwa nayo kwenye uchaguzi.
Ya maana kama yapi?Ya maana aliyoyafanya yapo ila na ujinga pia upo hasa huu wa kutekana kijinga utamkost.
inaonekana mtoa hoja alichukuliwa msukule na ameachiwa jana tu kwahiyo bado saikolojikali hayuko sawa....Lucas Mwashambwa Tlaatlaah kuna mtu anawachokoza huku....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Labda wamueke Abduli mtt wake
Njoo tuinywe.Chai
CV yake ya elimu pia si unaifahamu?Ila alikua ana nafasi kubwa mno ya kushinda kwa sababu ya kuwa tu mwanamke, angecheza kama Pele angevunja rekodi .
Zanzibar ni Tanzania piaZaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar
Na watakuwa wamebet haswaFisiemu wakitaka kushinda kwa kishindo basi wamuweke Luhaga Mpina kama mgombea. Ila wakitaka kubeti basi wamuache yule mama