Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Anakumbukwa kwa yote. Mazuri na mabaya.Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri, Hata CCM Majizi Yapo Ndugu Zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakumbukwa kwa yote. Mazuri na mabaya.Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri, Hata CCM Majizi Yapo Ndugu Zangu
Samia hadi 2040Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Tusitegemee hata siku moja kwa Mzanzibari kufanya la maana Bara!Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule bibi ile kazi ya jikoni ndio anayoiweza
Yani hakuna la maanaMimi binafsi kwenye uongozi wa SSH ukiniuliza kitu tangible alichofanikiwa kutuachia waTZ ni Royal Tour, Samia Stadium na Kizimkazi Festival, na hivyo vyote nyuma Yake vina ufisadi wa kutisha
Nitajie hizo merits zake.All in all,
Kuna merits na demerits za mama Samia hata pia watangulizi wake..
Yupo kwa ajili ya wanzazibar shtuka wewe.Mitazamo kinzani inapelekea kuitwa kila majina mabaya Mimi Sina CHAMA inshort.
Mama Samia sio mbaya kihivyo mnavyo taka kumu portray japo hakuna mkamilifu isipo kua mwenyezi Mungu pekee

Well said.Tusitegemee hata siku moja kwa Mzanzibari kufanya la maana Bara!
Mbona chawa wanatuambia wananchi wanabubujikwa na machozi ya furaha?Pengine kuna mazuri amefanya ila huyu Mama hana ki smart cha kupendwa kusema ukweli huku mtaani hawamuelewi kabisaaa yaani kazi atakuwa nayo kwenye uchaguzi.
Sawa ndugu yanguYupo kwa ajili ya wanzazibar shtuka wewe.
Atume wachunguzi kwa siri waje kuuliza huku mitaani 😁😁Mbona chawa wanatuambia wananchi wanabubujikwa na machozi ya furaha?
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Ila alikua ana nafasi kubwa mno ya kushinda kwa sababu ya kuwa tu mwanamke, angecheza kama Pele angevunja rekodi .Atume wachunguzi kwa siri waje kuuliza huku mitaani 😁😁
Zetu tu ndio chai mkuu 😅😅Chai