Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nyie tutol nyie wajinga. yaani mnataka kutuaminisha kuwa kipindi cha Mzee magufuli tulikuwa tunaishi peponi. kumbe maisha yalikuwa magumu tu na ndoo tukaja na msemo "wavyuma vimekazaa" . Acheni hizo bwana mama ni mpambanaji tunaona sana mafanikio yake ndani ya miaka yake hii minne
 
Sasa kama kweli Samia ni mwepesi kushindwa na upinzani, kwa nini uwashitue?

Si ungekaa kimya tu ili upinzani muje mushinde kwa kishindo!!

Yaani eti Capatain wa Yanga anaipangia Simba kipa wa kuwa golini!!!! Uliona wapi??????
 
Yule bibi ile kazi ya jikoni ndio anayoiweza
Kwahiyo niye ccm mulimuona anaiweza kazı ya umakamu wa rais lakini mifahamu hana şifa za kuwa rais? Au kazi yenu kupiga tu hamjali?

Hamkufahamu kuwa hata rais akisafiri nje ya nchi yeye ndo anakaimu? Achilia mbali rais akiwa “incapacitated or dead “?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…