Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano
jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani.

wakristo wanatofautiana sehemu kubwa sana kiasi ambacho kwamba, ni dini tofauti kabisa.
1. idadi ya vitabu wanavyoviamini
2. uendeshaji wa ibada
3. maombi na na nafasi ya Bkira Maria
4. Mfungo wa kwaresma na sikukuu
5. utatu mtakatifu
6. siku ya kuabudu
7. vyakula na unywaji.
hata wanaambiana kua group moja ni wapinga kristo na muwakirishi wa kuzimu.

kifupi kama ni vita, wakristo wangekua na sababu ya kupigana zaidi ila wameamua kuvumiliana, na mtandaoni wote hu act kama kitu kimoja.
 
Exactly, diversity ya ukristo ni kubwa sana lakini hawapigani, lkn eti Sunni na Shia ni sworn enemies, how and why?

The succession to Muhammad in 632 led the Muslims to be split into two camps, the Sunnis, who believed that the caliphs of the Islamic community should be chosen by a council, as in Saqifa, while a second group, the Shia, who believed that Muhammad had named his successor to be Ali ibn Abi Talib.
 
Wakristo ni kitu kimoja, mtu yoyote anayeamini Mungu ni nafsi tatu, na Yesu Kristo ni mwana wa Mungu, huyo ni mmoJa wa wakristo.
Vipi wanaoamini mungu ni nafsi moja, hana nafsi, au nafsi mbili kama Jehovah Witness??
 
Ndani ya Shia Kuna makundi yanapingana vikali ,Wahabi na Salafi hao ni kama chui na paka

Hao wanauana kabisa ,ila wote ni WA sunni

Hapo hujatoka nje ya sunni ukutane na shia , ahamadiya, Qadiria, agha kan ,n.k
 
Wakristo vita vyao ni vya kiroho. Waislam ni vya nyama.
Huku kiroho tunaambiwa shetani ataingia na kihujumu karibu Kila mfumo. Hatolewi KWA ngumi karate au mitama. Anatolewa KWA NENO.

Pia huku hatuna wasiwasi na uasi maana tunajua tunakotoka, tulipo, tunakokwenda na tunauhakika, ushindi uko upande wa Yesu na Sio ibris au majini.
 
Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano
jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani.

wakristo wanatofautiana sehemu kubwa sana kiasi ambacho kwamba, ni dini tofauti kabisa.
1. idadi ya vitabu wanavyoviamini
2. uendeshaji wa ibada
3. maombi na na nafasi ya Bkira Maria
4. Mfungo wa kwaresma na sikukuu
5. utatu mtakatifu
6. siku ya kuabudu
7. vyakula na unywaji.
hata wanaambiana kua group moja ni wapinga kristo na muwakirishi wa kuzimu.

kifupi kama ni vita, wakristo wangekua na sababu ya kupigana zaidi ila wameamua kuvumiliana, na mtandaoni wote hu act kama kitu kimoja.
Soma historia hasa ya Ulaya jinsi wakristo Walivyokua wanajinjana sababu ya madhehebu. Ulaya Sasa ukristo umekwisha kabisa umebaki nchi za ulimwengu wa tatu ambabo uliingizwa kisiasa za ukoloni hivyo na tofauti zao za uwadui wa Ulaya zikazimwa Ili kufanikisha agenda za watawala wa kikoloni.
Hakuna uadui wa hivyo baina ya Sunni na Shia na nchi nyingi wanaowana ila ni wanasiasa ndio huleta fitina Ili wakae vitini.
 
Ukristo siyo kwaresma wala bikira Maria

Ukristo ni kumwamin MUNGU MWENYEZI na KRISTO YESU mwanae aliye mtuma

Haijalishi unatumia mafuta ya upako au unatumia rozary
 
Hatupingani ila huu ni uwongo
Sio uongo mkuu ulizia utaambiwa, wakristo wana kitabu chao kinachoongoza sala zao kuna sehemu wanasema wanaamini kanisa takatifu catholic. Madhehebu nilio na uhakika na hilo ni Lutheran na Protestants.
 
Ila kuficha kuhusu kubariki ushoga ilishindikana Marehemu Papa akasema hadharani mashoga wabarikiwe kanisani
 
Shia na sunni ni ugomvi wa koo ,wewe kujiita shia au sunni na ni mweusi basi una matatizo ..Hizo ni koo zao zilizogombani uongozi ...Shia na sunni ni race mbili kutokana na makabila yao ..Hawapigani kuhusu dini ila ni koo zao ...Kujiita shia au sunni basi una matatizo au unatafuta ugomvi .
Pakistan na india ngoma haziivi milele ,hata jamii za wazungu wanachapana na wamechapana ..Jamii za waarabu sio waoga wala wazindiki ukileta noma unapigwa kweli...Fuata Mungu kama unaamini makundi yote ni unafiki na upotevu.
 
Sio uongo mkuu ulizia utaambiwa, wakristo wana kitabu chao kinachoongoza sala zao kuna sehemu wanasema wanaamini kanisa takatifu catholic. Madhehebu nilio na uhakika na hilo ni Lutheran na Protestants.
Na hiko kitabu ni kitabu cha sala kinatumiwa na Anglican(Anglo Catholic) na Roman Catholic madhehebu mengine hawatumii hicho kitabu.
 
Shia na sunni ni ugomvi wa koo ,wewe kujiita shia au sunni na ni mweusi basi una matatizo ..Hizo ni koo zao zilizogombani uongozi ...Shia na sunni ni race mbili kutokana na makabila yao ..Hawapigani kuhusu dini ila ni koo zao ...Kujiita shia au sunni basi una matatizo au unatafuta ugomvi .
Pakistan na india ngoma haziivi milele ,hata jamii za wazungu wanachapana na wamechapana ..Jamii za waarabu sio waoga wala wazindiki ukileta noma unapigwa kweli...Fuata Mungu kama unaamini makundi yote ni unafiki na upotevu.
Exactly mkuu,ndio maana huku afrika hakuna misuguano ya kivita,kama kulivyo kule Pakistani nk nk,,huku afrika yawezekana tu Sunni asiingie msikiti wa shia tokana labda na namna ya utekelezaji wa ibada baasi,hakuna ugomvi,wakutanapo sehemu nyingine wanaongea pamoja wanafurahi nk,jambo la kawaida hilo.
Na kule uk,kuna waprotestant huwa wanatwangana mara kwa mara,kule highland ya kaskazini na kusini dhidi ya kanisa kuu la uingereza jina limenitoka kidogo,mtanikumbusha.
 
Back
Top Bottom