Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano
jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani.

wakristo wanatofautiana sehemu kubwa sana kiasi ambacho kwamba, ni dini tofauti kabisa.
1. idadi ya vitabu wanavyoviamini
2. uendeshaji wa ibada
3. maombi na na nafasi ya Bkira Maria
4. Mfungo wa kwaresma na sikukuu
5. utatu mtakatifu
6. siku ya kuabudu
7. vyakula na unywaji.
hata wanaambiana kua group moja ni wapinga kristo na muwakirishi wa kuzimu.

kifupi kama ni vita, wakristo wangekua na sababu ya kupigana zaidi ila wameamua kuvumiliana, na mtandaoni wote hu act kama kitu kimoja.
Iko hivi... wakristo huamini kwamba atakaepona/kuokoka na ghadhabu ya Mungu ni yule aliye mpokea na kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake... mapokeo hayana nafasi katika hilo na bahati nzuri madhehebu yote yanajua hilo
 
Nimeshangaa kanisa la pastor mocky ni wanawake na shuhuda ni za kishua

Shalom mama,

SHalom baby girl 😍
 
Back
Top Bottom