Exactly, diversity ya ukristo ni kubwa sana lakini hawapigani, lkn eti Sunni na Shia ni sworn enemies, how and why?Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano
jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani.
wakristo wanatofautiana sehemu kubwa sana kiasi ambacho kwamba, ni dini tofauti kabisa.
1. idadi ya vitabu wanavyoviamini
2. uendeshaji wa ibada
3. maombi na na nafasi ya Bkira Maria
4. Mfungo wa kwaresma na sikukuu
5. utatu mtakatifu
6. siku ya kuabudu
7. vyakula na unywaji.
hata wanaambiana kua group moja ni wapinga kristo na muwakirishi wa kuzimu.
kifupi kama ni vita, wakristo wangekua na sababu ya kupigana zaidi ila wameamua kuvumiliana, na mtandaoni wote hu act kama kitu kimoja.
Huu ni uwongo.wanaamini katika kanisa takatifu Catholic.
Hatupingani ila huu ni uwongoWakristo pamoja na madhehebu kibao lakini wana kitabu kinasema wanaamini katika kanisa takatifu Catholic.
Vipi wanaoamini mungu ni nafsi moja, hana nafsi, au nafsi mbili kama Jehovah Witness??Wakristo ni kitu kimoja, mtu yoyote anayeamini Mungu ni nafsi tatu, na Yesu Kristo ni mwana wa Mungu, huyo ni mmoJa wa wakristo.
Soma historia hasa ya Ulaya jinsi wakristo Walivyokua wanajinjana sababu ya madhehebu. Ulaya Sasa ukristo umekwisha kabisa umebaki nchi za ulimwengu wa tatu ambabo uliingizwa kisiasa za ukoloni hivyo na tofauti zao za uwadui wa Ulaya zikazimwa Ili kufanikisha agenda za watawala wa kikoloni.Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano
jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani.
wakristo wanatofautiana sehemu kubwa sana kiasi ambacho kwamba, ni dini tofauti kabisa.
1. idadi ya vitabu wanavyoviamini
2. uendeshaji wa ibada
3. maombi na na nafasi ya Bkira Maria
4. Mfungo wa kwaresma na sikukuu
5. utatu mtakatifu
6. siku ya kuabudu
7. vyakula na unywaji.
hata wanaambiana kua group moja ni wapinga kristo na muwakirishi wa kuzimu.
kifupi kama ni vita, wakristo wangekua na sababu ya kupigana zaidi ila wameamua kuvumiliana, na mtandaoni wote hu act kama kitu kimoja.
Sio uongo mkuu ulizia utaambiwa, wakristo wana kitabu chao kinachoongoza sala zao kuna sehemu wanasema wanaamini kanisa takatifu catholic. Madhehebu nilio na uhakika na hilo ni Lutheran na Protestants.Hatupingani ila huu ni uwongo
Na hiko kitabu ni kitabu cha sala kinatumiwa na Anglican(Anglo Catholic) na Roman Catholic madhehebu mengine hawatumii hicho kitabu.Sio uongo mkuu ulizia utaambiwa, wakristo wana kitabu chao kinachoongoza sala zao kuna sehemu wanasema wanaamini kanisa takatifu catholic. Madhehebu nilio na uhakika na hilo ni Lutheran na Protestants.
Exactly mkuu,ndio maana huku afrika hakuna misuguano ya kivita,kama kulivyo kule Pakistani nk nk,,huku afrika yawezekana tu Sunni asiingie msikiti wa shia tokana labda na namna ya utekelezaji wa ibada baasi,hakuna ugomvi,wakutanapo sehemu nyingine wanaongea pamoja wanafurahi nk,jambo la kawaida hilo.Shia na sunni ni ugomvi wa koo ,wewe kujiita shia au sunni na ni mweusi basi una matatizo ..Hizo ni koo zao zilizogombani uongozi ...Shia na sunni ni race mbili kutokana na makabila yao ..Hawapigani kuhusu dini ila ni koo zao ...Kujiita shia au sunni basi una matatizo au unatafuta ugomvi .
Pakistan na india ngoma haziivi milele ,hata jamii za wazungu wanachapana na wamechapana ..Jamii za waarabu sio waoga wala wazindiki ukileta noma unapigwa kweli...Fuata Mungu kama unaamini makundi yote ni unafiki na upotevu.
Dini zimewekwa kuwalinda wachawi,walozi,wazinzi na makundi yote ya mashetani .Dini ni kwaajili ya watu walio na matatizo ya akili.
Ukitaka kujua ni kweli utaona watakavyonishambulia.