Miongoni mwa siku zinazosubiriwa kwa hamu kubwa

Na watu maarufu zaidi Tanganyika kwasasa si wasanii bali ni wanaharakati vijana wa Gen Z chini ya kamandq Habil
Yaan nashangaa mambo yamebadilika ghafla,hapo karibuni watz walikuwa busy na umbea na simba na yanga,mambo ya nchi walikuwa hawayafatilii kabisa lakin sasa imekuwa tofauti sana watu hawatak ujinga kabisa
 
1.Siku ya kurudi kwa Masihi
2.Tisa Disemba
Pia list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania imepata mwanachama mpya anayeitwa Thabiti Kombo
Nakubali professa of evil spirit πŸ˜…πŸ˜…
 
Muda wa mazoezi na kuandaa zana mwisho 1dec
kuanzia hapo yu know wara amsaying..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…