Asikwambie mtu!
Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
- Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi
- Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake)
- Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume)
- Kuwa na bosi kazini mwenye kufoka foka
- Kuwa na simu ambayo tachpad inasumbua
- Kuwa na gari bovu asikwambie mtu stress zake
- Kupika chakula ukiwa huna uhakika endapo gesi iliyomo kama itatosha kuivisha chakula na huna hela ya mfukoni
- Kutumiwa hela ya mkopo kwenye namba iliyokopa songesha
- Kuwa na mvurugo wa tumbo la ghafla
- Kuwa na mpenzi mwenye pesa lakini bahili wa kutupwa
- Kuchukua mikopo ya wanyonya damu (ten percent) n.k..... Ongezea stress yako tupeane uzoefu humu; Comment yenye like nyingi itakuwa ndo common stress kwa watu wengi