Miongoni mwa vitu vichache vinavyoongeza stress hivi hapa

Asikwambie mtu!

Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
  1. Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi
  2. Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake)
  3. Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume)
  4. Kuwa na bosi kazini mwenye kufoka foka
  5. Kuwa na simu ambayo tachpad inasumbua
  6. Kuwa na gari bovu asikwambie mtu stress zake
  7. Kupika chakula ukiwa huna uhakika endapo gesi iliyomo kama itatosha kuivisha chakula na huna hela ya mfukoni
  8. Kutumiwa hela ya mkopo kwenye namba iliyokopa songesha
  9. Kuwa na mvurugo wa tumbo la ghafla
  10. Kuwa na mpenzi mwenye pesa lakini bahili wa kutupwa
  11. Kuchukua mikopo ya wanyonya damu (ten percent) n.k..... Ongezea stress yako tupeane uzoefu humu; Comment yenye like nyingi itakuwa ndo common stress kwa watu wengi
Kudaiwa hela ya kikoba au rejesho na bebi,halafu huna hela,kibaya zaidi ukute ex wake ana mawe kukuzidi na uwezo wa kumpa bebi wako anao.....na Bado wanawasiliana
 
Asikwambie mtu!

Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
  1. Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi
  2. Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake)
  3. Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume)
  4. Kuwa na bosi kazini mwenye kufoka foka
  5. Kuwa na simu ambayo tachpad inasumbua
  6. Kuwa na gari bovu asikwambie mtu stress zake
  7. Kupika chakula ukiwa huna uhakika endapo gesi iliyomo kama itatosha kuivisha chakula na huna hela ya mfukoni
  8. Kutumiwa hela ya mkopo kwenye namba iliyokopa songesha
  9. Kuwa na mvurugo wa tumbo la ghafla
  10. Kuwa na mpenzi mwenye pesa lakini bahili wa kutupwa
  11. Kuchukua mikopo ya wanyonya damu (ten percent) n.k..... Ongezea stress yako tupeane uzoefu humu; Comment yenye like nyingi itakuwa ndo common stress kwa watu wengi
Kubet
 
Kulazimisha penzi kwa mwanamke unayempenda na huna Pesa.

This is too much stress for me.
Nina rafiki au jamaa yangu yuko pale Mbeya mjini mwanasheria wa kujitegemea anaitwa Isaack msyte aliwahi nipa principle moja kuwa Kazi ya mwanamke ni kushawishiwa ili awe tayari au hata asipokuwa tayari,in this case,please kila mtu aamini lake.
 
Money bring a woman ,,a woman bring love

Pesa ndy kila kitu mkuu
 
Binafsi natamani sana nami niExperience hichi kitu nione mapenzi yanaumaje.
Shida ni moja kwangu, I don't care! Hata uwe nani mimi sijali chochote utakachonifanyia.
Una bahati sana,iyo ni zaid ya tunu!![emoji2]
 
Tabia zetu wabongo... Umemfukuzia demu miezi kadhaa..washkaji wanakucheki tu, ukila ndo zinaaza story demu ana ngoma ..😔😔😔

Umenunua kiwanja, kitongoji balozi mwenyekiti wote wameshiriki... Ukilipa tu, wanaibuka watu huko from nowhere, kina mgogoro usijenge... Aisee 😔😔😔
 
Kuwa na demu anayeshinda kuangalia tamthilia siku nzima na kutaka kuishi maisha ya maigizo aliyoyaona kwenye TV. Hapo hapo anashinda anaangalia TV hajaoga wala kupiga mswaki, ananuka shombo kishenzi na nyumba hajasafisha. Aiseee, yaani basi tu.
 
Aahaaaaaa
 
Back
Top Bottom