Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Betting halafu mechi moja unayoiamini ndo ya mwisho halafu ikuchanie. ***** hata dudu haidisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo ulitaka kutupa swaga'ndugu mteja.... umemaliza bando lako' 😂
OoohooohNina rafiki au jamaa yangu yuko pale Mbeya mjini mwanasheria wa kujitegemea anaitwa Isaack msyte aliwahi nipa principle moja kuwa Kazi ya mwanamke ni kushawishiwa ili awe tayari au hata asipokuwa tayari,in this case,please kila mtu aamini lake.
Hatari na nusuNyie watu katika vitu vinavyotia stress Ni pale umetembea na mchepuko bila Kinga, halafu kufika nyumbani nako ukatimiza wajibu nyama nyama. Sasa baada ya siku tatu unaona abdala kichwa ngumu anaanza kuwasha kwenye bomba na kutoa discharge rangi ya cream.
Stress inakuja jinsi ya kumuambia wife kwamba umemuambukiza gono na inabidi mkatibiwe.
Ikikukuta hii ndio utajua wanawake huwajui.
Hivo kumbe?Kwenye kubeti hapo ni noma
HatariKuwa na ndugu kwenye furaha , kwenye tatizo unasimama peke yako.
9:Kuwa na mvurugo wa tumbo ghafla,ukiwa safarini.Asikwambie mtu!
Stress inaumiza sana watu pasipo sababu!
Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress!
- Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi
- Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake)
- Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume)
- Kuwa na bosi kazini mwenye kufoka foka
- Kuwa na simu ambayo tachpad inasumbua
- Kuwa na gari bovu asikwambie mtu stress zake
- Kupika chakula ukiwa huna uhakika endapo gesi iliyomo kama itatosha kuivisha chakula na huna hela ya mfukoni
- Kutumiwa hela ya mkopo kwenye namba iliyokopa songesha
- Kuwa na mvurugo wa tumbo la ghafla
- Kuwa na mpenzi mwenye pesa lakini bahili wa kutupwa
- Kuchukua mikopo ya wanyonya damu (ten percent) n.k..... Ongezea stress yako tupeane uzoefu humu; Comment yenye like nyingi itakuwa ndo common stress kwa watu wengi
Halafu umekaa siti moja na mdada mcheshi na mrembo wa kishua.9:Kuwa na mvurugo wa tumbo ghafla,ukiwa safarini.
DuhHalafu umekaa siti moja na mdada mcheshi na mrembo wa kishua.
Hii ni hatar hata ukijamba anakwambia kila mtu aishi kivyake jua tu una mtoto wako kwangu! Wakati yy ndo alokuomba murudiane ukawaacha wengine wenye akili zao timamuKumpenda asiyekupenda
KUBET 🙌🙌Hahaha kwa vijana ni hivi:
Hapa naongelea Instagram, TikTok, Facebook, WhatsApp etc. ukianza angalia lifestyle la watu humo na wewe ukijifananisha utajiona umechelewa sana. Ukianza fatilia umbea wa Diamond, Harmonize, Kajala yaani utakupa stress ova wewe ni msemaji wa Wasafi.
- Social Media
Especially yale mapenzi ya upande mmoja. Mfano unampenda demu ambaye yeye hana mpango na wewe. Au kujipendekeza kwa ex wako ambae yeye amemove on ila wewe umekataa. Ni zaidi ya kifungo. Inakupa stress, inakumalizia hela na unapotea kwenye form kabisa.
- Mapenzi
Na Mwisho
Nyie sikieni tu.
- Umasikini/Ajira/Pesa
Notable Mention:
KUBET
Hii me naona kwa vijana.
Nilisomaga uzi wako mmoja. Uligusia hivi vitu.Binafsi natamani sana nami niExperience hichi kitu nione mapenzi yanaumaje.
Shida ni moja kwangu, I don't care! Hata uwe nani mimi sijali chochote utakachonifanyia.