Miongoni mwa vitu vichache vinavyoongeza stress hivi hapa

Kudaiwa hela ya kikoba au rejesho na bebi,halafu huna hela,kibaya zaidi ukute ex wake ana mawe kukuzidi na uwezo wa kumpa bebi wako anao.....na Bado wanawasiliana
 
Kubet
 
Kulazimisha penzi kwa mwanamke unayempenda na huna Pesa.

This is too much stress for me.
Nina rafiki au jamaa yangu yuko pale Mbeya mjini mwanasheria wa kujitegemea anaitwa Isaack msyte aliwahi nipa principle moja kuwa Kazi ya mwanamke ni kushawishiwa ili awe tayari au hata asipokuwa tayari,in this case,please kila mtu aamini lake.
 
Money bring a woman ,,a woman bring love

Pesa ndy kila kitu mkuu
 
Binafsi natamani sana nami niExperience hichi kitu nione mapenzi yanaumaje.
Shida ni moja kwangu, I don't care! Hata uwe nani mimi sijali chochote utakachonifanyia.
Una bahati sana,iyo ni zaid ya tunu!![emoji2]
 
Number moja:
Mke akinuna, hafungui mguu Wala mdomo, na hii baridi ya kipindi hiki.
 
Tabia zetu wabongo... Umemfukuzia demu miezi kadhaa..washkaji wanakucheki tu, ukila ndo zinaaza story demu ana ngoma ..πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Umenunua kiwanja, kitongoji balozi mwenyekiti wote wameshiriki... Ukilipa tu, wanaibuka watu huko from nowhere, kina mgogoro usijenge... Aisee πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Kuwa na demu anayeshinda kuangalia tamthilia siku nzima na kutaka kuishi maisha ya maigizo aliyoyaona kwenye TV. Hapo hapo anashinda anaangalia TV hajaoga wala kupiga mswaki, ananuka shombo kishenzi na nyumba hajasafisha. Aiseee, yaani basi tu.
 
Aahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…