Miongoni mwa vitu vichache vinavyoongeza stress hivi hapa

Betting halafu mechi moja unayoiamini ndo ya mwisho halafu ikuchanie. ***** hata dudu haidisi
 
Nyie watu katika vitu vinavyotia stress Ni pale umetembea na mchepuko bila Kinga, halafu kufika nyumbani nako ukatimiza wajibu nyama nyama. Sasa baada ya siku tatu unaona abdala kichwa ngumu anaanza kuwasha kwenye bomba na kutoa discharge rangi ya cream.
Stress inakuja jinsi ya kumuambia wife kwamba umemuambukiza gono na inabidi mkatibiwe.
Ikikukuta hii ndio utajua wanawake huwajui.
 
Nina rafiki au jamaa yangu yuko pale Mbeya mjini mwanasheria wa kujitegemea anaitwa Isaack msyte aliwahi nipa principle moja kuwa Kazi ya mwanamke ni kushawishiwa ili awe tayari au hata asipokuwa tayari,in this case,please kila mtu aamini lake.
Ooohoooh
 
Hatari na nusu
 
Kumhudumia mwanamke kwa kila kitu huku akiwa hana mapenzi na ww mahaba yake yopo kwa mwingine ww anakutumia kitega uchumi wake
 
9:Kuwa na mvurugo wa tumbo ghafla,ukiwa safarini.
 
Kumpenda asiyekupenda
Hii ni hatar hata ukijamba anakwambia kila mtu aishi kivyake jua tu una mtoto wako kwangu! Wakati yy ndo alokuomba murudiane ukawaacha wengine wenye akili zao timamu
 
KUBET 🙌🙌
 
Binafsi natamani sana nami niExperience hichi kitu nione mapenzi yanaumaje.
Shida ni moja kwangu, I don't care! Hata uwe nani mimi sijali chochote utakachonifanyia.
Nilisomaga uzi wako mmoja. Uligusia hivi vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…