Tetesi: Miongoni mwa Wabunge 19 waasi wa CHADEMA wawili kati yao ni wake za Benson Kigaila na Salumu Mwalim hoja kuwa waliapa bila baraka za chama zinaukweli?

Kwa ufupi sana,

1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni bila baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana?

2. Hata Salumu Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mke wake yuko Bungeni bila baraka za chama lakini jambo hili kwa akili za kawaida kabisa inawezekana?

3. Taifa hili linajua fika Halima na Bulaya ni maswaiba wakubwa wa Freeman Mbowe je hoja kwamba wadada hawa waliapa bila baraka za rafiki yao huyo zinaukweli?

4. Mimi nasema hawa wanawake wanaonewa bure nashauri Mbowe, Mwalimu na Kigaila waadhibiwe kwa makosa haya na Chama kitamke msamaha juu ya hao wanawake wote 19

5. Napendekeza wabunge hawa warudi kundini ili Maisha yaendelee ila hawa Wala rushwa waondoke na Uenyekiti apewe mtu asiye Mbowe.
Hilo chama lenu halina maana uaneni tuu
 
Mwenyewe umeona umetoa bonge la hoja😆😃😀

CHADEMA mwaka wa nne sasa wanataka itolewe barua iliyoandikwa kwenda Kwa tume ya uchaguzi kupendekeza hao wanawake 19 kuwa wabunge wa viti maalum. Si bunge wala Tume ya uchaguzi walioweza kuonesha hiyo Barua.

Au unadhani viti maalum wanakwenda bungeni bila ya utaratibu?
Mbona waume za hao wake hawajajiudhuru uongozi ndani ya chadema?
 
Kwa ufupi sana,

1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni bila baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana?

2. Hata Salumu Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mke wake yuko Bungeni bila baraka za chama lakini jambo hili kwa akili za kawaida kabisa inawezekana?

3. Taifa hili linajua fika Halima na Bulaya ni maswaiba wakubwa wa Freeman Mbowe je hoja kwamba wadada hawa waliapa bila baraka za rafiki yao huyo zinaukweli?

4. Mimi nasema hawa wanawake wanaonewa bure nashauri Mbowe, Mwalimu na Kigaila waadhibiwe kwa makosa haya na Chama kitamke msamaha juu ya hao wanawake wote 19

5. Napendekeza wabunge hawa warudi kundini ili Maisha yaendelee ila hawa Wala rushwa waondoke na Uenyekiti apewe mtu asiye Mbowe.
Cc Erythrocyte
 
Mwenyewe umeona umetoa bonge la hoja😆😃😀

CHADEMA mwaka wa nne sasa wanataka itolewe barua iliyoandikwa kwenda Kwa tume ya uchaguzi kupendekeza hao wanawake 19 kuwa wabunge wa viti maalum. Si bunge wala Tume ya uchaguzi walioweza kuonesha hiyo Barua.

Au unadhani viti maalum wanakwenda bungeni bila ya utaratibu?
Achana na hizo dana dana, tuzungumzie kwanza mahusiano ya kindoa na kimapenzi kwa viongozi wa chama na hao wabunge yana ukweli wowote, je yamekaaje hayo?

Dana dana hiyo yawezakuwa ni syndicate ya kimaslahi kati ya viongozi waliotajwa wa Chadema na Ccm.

Kama kweli waliotajwa wameoa Covid 19, basi mleta uzi ana hoja yenye mashiko.
 
Kwa ivo Eva alipokula tunda la mti wa kati ya Bustani Adam alijua?

Mambo ya kubashiri kwenye uhalisia ni ushirikina. Kama Kuna ushahidi si uwekwe hadharani?
Ushahid gan unataka mtu unaelala nae kitandani asafir MPAKA Dodoma kwenda kuapa na mume usijue kuwa mke wako kateuliwa kuwa mbunge, LABDA AJITETEE MKEWE ALITEKWA NA AKARUDI AKIWA MBUNGE
 
Kwa ufupi sana,

1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni bila baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana?

2. Hata Salumu Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mke wake yuko Bungeni bila baraka za chama lakini jambo hili kwa akili za kawaida kabisa inawezekana?

3. Taifa hili linajua fika Halima na Bulaya ni maswaiba wakubwa wa Freeman Mbowe je hoja kwamba wadada hawa waliapa bila baraka za rafiki yao huyo zinaukweli?

4. Mimi nasema hawa wanawake wanaonewa bure nashauri Mbowe, Mwalimu na Kigaila waadhibiwe kwa makosa haya na Chama kitamke msamaha juu ya hao wanawake wote 19

5. Napendekeza wabunge hawa warudi kundini ili Maisha yaendelee ila hawa Wala rushwa waondoke na Uenyekiti apewe mtu asiye Mbowe.
Wataje majina hao wa salum mwalim na huyo kigaila. Vyengine itakuwa propaganda
 
Screenshot_20241110-181958.jpg
 
1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni bila baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana?

2. Hata Salumu Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mke wake yuko Bungeni bila baraka za chama lakini jambo hili kwa akili za kawaida kabisa inawezekana?
Habari hizi ni za kweli ama uzushi? Nipeni ushahidi kuwa habari hizi ni za kweli mm niache kuwashabikia chadema kuanzia leo.

Niliambiwa mke wa Ally Bananga a.k.a Binamu (ambaye Sasa ni mwanaccm) ndiye alikuwa miongoni wa COVID-19. Sasa kama na wake za Benson Kigaila na Salum Mwalimu nao ni COVID-19, basi huu ni ushenzi wa kisiasa.
 
Wake zao ni kina Nani wataje maana hatuwajui ,wengine hatufuatilii mambo ya siasa.
 
Kwa ufupi sana,

1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni bila baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana?

2. Hata Salumu Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mke wake yuko Bungeni bila baraka za chama lakini jambo hili kwa akili za kawaida kabisa inawezekana?

3. Taifa hili linajua fika Halima na Bulaya ni maswaiba wakubwa wa Freeman Mbowe je hoja kwamba wadada hawa waliapa bila baraka za rafiki yao huyo zinaukweli?

4. Mimi nasema hawa wanawake wanaonewa bure nashauri Mbowe, Mwalimu na Kigaila waadhibiwe kwa makosa haya na Chama kitamke msamaha juu ya hao wanawake wote 19

5. Napendekeza wabunge hawa warudi kundini ili Maisha yaendelee ila hawa Wala rushwa waondoke na Uenyekiti apewe mtu asiye Mbowe.
Mke wa Salumu Mwalimu anaitwa nani????
 
Habari hizi ni za kweli ama uzushi? Nipeni ushahidi kuwa habari hizi ni za kweli mm niache kuwashabikia chadema kuanzia leo.

Niliambiwa mke wa Ally Bananga a.k.a Binamu (ambaye Sasa ni mwanaccm) ndiye alikuwa miongoni wa COVID-19. Sasa kama na wake za Benson Kigaila na Salum Mwalimu nao ni COVID-19, basi huu ni ushenzi wa kisiasa.
Anaitwa Kunti Kajala.👇
1731781217662.png
 
Back
Top Bottom