pancras utenga
Member
- May 25, 2016
- 68
- 51
Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sorry! Upandikizaji mimba mkuuUmeandika kama kila mtu anajua unachoulizia!
Nachakata sema Kuna kitu nataka kujua tuChakata papuchi mkuu acha uvivu
Sawa wajuzi na wazoefu wa kutamia mayai viza watakuja kutujuzaNachakata sema Kuna kitu nataka kujua tu
Kuhusu miongozo sijui. Ila kuna IVF centre mitaa ya Uzunguni Arusha. Uwepo wake nadhani ulifuata miongozo sahihi
Nasikia wanapandikiza, ila kuhusu ufanisi wao ndio sijui mkuu. Ukiwa na mtu Arusha anaweza enda kuwaulizia then akakupa mrejesho.Na wanapandikiz vizuri tu