Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
yec mkuu, eneo linalotakiwa kuachwa kati ya jengo la kudumu na mpaka wa kiwanja ni umbali usiopungua ft 5( mita 1.5) na kitaalamu unaitwa "site set back" hii ni kwa mujibu wa the town planning building rules cap 101 japo in practice kwa sababu ya ulinzi mdogo watu wanajenga fensi za ukuta within the boundary ndo maana inabidi pia ujenzi wa boundary wall upate kibali