Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
wasalaam wanajamvi. Unatakiwa kuacha mita ngapi kutoka katika mpaka wa kiwanja unapotaka kujenga nyumba yako? (toka mpaka wa kiwanja chako na kiwanja cha jirani yako/mwenzio {mpakani})?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yec mkuu, eneo linalotakiwa kuachwa kati ya jengo la kudumu na mpaka wa kiwanja ni umbali usiopungua ft 5( mita 1.5) na kitaalamu unaitwa "site set back" hii ni kwa mujibu wa the town planning building rules cap 101 japo in practice kwa sababu ya ulinzi mdogo watu wanajenga fensi za ukuta within the boundary ndo maana inabidi pia ujenzi wa boundary wall upate kibali