Mipaka ya viwanja na ujenzi wa nyumba

Mipaka ya viwanja na ujenzi wa nyumba

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
wasalaam wanajamvi. Unatakiwa kuacha mita ngapi kutoka katika mpaka wa kiwanja unapotaka kujenga nyumba yako? (toka mpaka wa kiwanja chako na kiwanja cha jirani yako/mwenzio {mpakani})?
 
yec mkuu, eneo linalotakiwa kuachwa kati ya jengo la kudumu na mpaka wa kiwanja ni umbali usiopungua ft 5( mita 1.5) na kitaalamu unaitwa "site set back" hii ni kwa mujibu wa the town planning building rules cap 101 japo in practice kwa sababu ya ulinzi mdogo watu wanajenga fensi za ukuta within the boundary ndo maana inabidi pia ujenzi wa boundary wall upate kibali
 
mkuu inaonekana wewe utakuwa mdau mzuri kwenye sheria za ujenzi, tafadhali naomba unisaidie soft copy ya
[h=2]local government (urban authorities) development control regulations[/h]kama unayo. asante sana
 
Back
Top Bottom