Mipangilio ya chakula kwenye baadhi ya migahawa Dodoma ilinishangaza

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama,
wali mboganboga na kadhalika.

Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini sikupendezwa nayo kabisa. Baadae nikasikia pia kuna menu zaidi kama, ugali burger, piza maharage, ugali ugali, samaki samaki, etc
 
😂👋👋😅😄😆🤣😀🚀🙆‍♂️👌👌😃😒😁💖💖☪️👨‍🏫❤️🥛🤍👄💋👀🥂👁😬
 
Nyuzi za kipuuzi ndizo zinawafanya watu makini wasiwepo hapa jukwaani.
 
Ugali dagaa, wali nyama, wali maharage, ugali maharagea walau huu mpangilio utaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…