Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Wadau naomba kuuliza kuna Trekta aina ya Telefunken-X-Germany, limeshatumiwa na mkulima Kaburu kama miaka 8 hivi, nimeipenda utendaji wake, niko hapa South-Pretoria ni nzuri sana. Ngoma inakuja kuiingiza Bongo. Itakuwaje na hali ya sasa ya mzee jiwe? Hatabiriki. Vipuri hata kama huko havipo, nitavifuata huku.
1. Multi purposes full air conditioned
2. Inalima kwa kuchimbua unavyotaka, pia kulingana na aina ya udongo. Unaweza kuirekebisha utakavyo kiumbo ikawa:
3. Mashine ya kusaga, nafaka/kukoboa, au chakula cha mifugo km kuku au nguruwe.
4. Inavuta maji mtoni,
5. Ina kijiko cha kuchimbua mitaro, malambo nk.
6. Ina trailer na uwezo wa kunyunyizia dawa popote, hata mtaani.
7. Ina majembe ya kulimia zaidi ya moja,
8. Mpaka na mtambo wa kukatia ng'ombe majani,
9. Kukamulia maziwa ya ng'ombe,
10. Nzuri zaidi ina mtambo wenye uwezo mkubwa wa kuendesha kiwanda kidogo, kulingana na mahitajio yako; kama vile kufyatua vifungashio vya maji/ au vinywaji yaani plastic bottles, kufyatua tofali kama ni mjenzi.
11. Kuchongea vipuri vya viwandani na magari nk.
12. Kuvuna mahindi na winchi ya kupack magunia kwenye lori baada ya kuvuna mahindi au viazi mbatata.
Yaani full kufanya kazi mwaka mzima, ndiyo ilivyo, ukizingatia kuifanyia service na matunzo tu.