Mipango ikoje kuingiza trekta kutoka South Africa mpaka Bongo? Msaada tafadhali

Mkuu mbona hujaweka picha? Hizo sifa ulizotaja hicho ni kiwanda kinachotembea, nahisi utapewa na msamaha wa kodi kabisa! Kila la kheri
Sawa mkuu nimerudi kule nimepiga lkn simu yangu hii bana utaniwia radhi ina tyre 8
 
Ok! mkuu Baba akhsante sana kwa ushauri. But nina wasiwasi kama nikificha wanaweza wakai Google, then nionekane mimi ni muongo waka nishushua na punishment juu, mzee mzima nikaadhirika kwa hilo. au imekaaje hapa mkuu?
km hiki uhaweza funga nyuma ukakamua juice
Hilo lina tyre ngapi?
LINA TYRE 8 LKN UNAWEZA KUPUNGUZA KULINGANA NA MAHITAJI, MFNO UKIKAMUA UNABAKI NA TYRE MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…