[emoji23][emoji23][emoji23]utasikia business planning&development, aloo zunguka taifa zima hakuna cozi kama hizi vyuo vyote zaid ya hapo mipango[emoji23][emoji23]Risk management
Au basi
[emoji23][emoji23][emoji23]utasikia business planning&development, aloo zunguka taifa zima hakuna cozi kama hizi vyuo vyote zaid ya hapo mipango[emoji23][emoji23]
Kusema kuwa ni chuo cha mchongo unataka kutuaminisha kuwa wanaohitimu pale hawaajiriwi ?Hizo cozi ni kisanga, kwanza hata chuo chenyewe cha mchongo hicho huwa mnawapelekaje nduguzenu hapo?
Coz nyingi pale ni Useless kwa Taifa maana tofauti na kubaki na cheti baada ya kumaliza hakuna mahala utakitumia kwakua vitu vifundishwavyo pale hapa nchini bado havihitajiki ama serikali haina mpango navyo kiufupi viko nje ya mstari, coz nzuri lkn manufaa kwa jamii hakuna labda kwa vikozi vya certificate&diploma, but the rest are useless,
Programu nyingi zinazofundishwa Chuo cha Mipango ni janga kwa wahitimu. Wameanzisha programu nyingi za degree ambazo kimsingi hazikutakiwa kutolewa na Chuo cha Mipango. Mfano mzuri Human Resourse Planning and management na hicho cha Urban Planning. Nchi waajiri wengi na Taifa tunajua masuala ya Utawala Chuo chake ni Mzumbe na Urban Planning inatakiwa kutplewa Chuo cha Ardhi. hata mimi ningekuwa mwajiri lazima Mtawala nitamchukua wa Mzumbe na Afisa Mipango Miji nitamchukua wa Chuo cha Ardhi wakati mtaalamu wa Mazingira nitamfuata SUA na Mlimani na Maendeleo ya Jamii nitaenda kumpata Tengeru.Kusema kuwa ni chuo cha mchongo unataka kutuaminisha kuwa wanaohitimu pale hawaajiriwi ?
Kama chuo kinaendelea kupata wanafunzi maana yake kinaaminika
Mateso wanayopata mitaani baada ya kuhitimu siyo ya kitoto. Wengi hawaajiriwi maana mifumo ya ajira inashindwa kutambua sawa sawa taaluma yao na namna ya kuitumia.Kusema kuwa ni chuo cha mchongo unataka kutuaminisha kuwa wanaohitimu pale hawaajiriwi ?
Kama chuo kinaendelea kupata wanafunzi maana yake kinaaminika
Hapo kwenye taasisi unataka kutuambia DIT, Arusha technical na MUST hazipo kabisa miongoni mwa vyuo bora?Tanzania vyuo vikuu ni
UDSM
SUA
Mzumbe
UDOM
MUHAS
KCMC
COHAS
Taasisi ni
TIA
IFM
CBE
Huko kwingine umepotea
Okay nimekuelewaMateso wanayopata mitaani baada ya kuhitimu siyo ya kitoto. Wengi hawaajiriwi maana mifumo ya ajira inashindwa kutambua sawa sawa taaluma yao na namna ya kuitumia.
Kama wakiitwa kwenye interview wote wana nafasi sawa inategemea na mtu alivyojipanga kujibu maswali ya interviewProgramu nyingi zinazofundishwa Chuo cha Mipango ni janga kwa wahitimu. Wameanzisha programu nyingi za degree ambazo kimsingi hazikutakiwa kutolewa na Chuo cha Mipango. Mfano mzuri Human Resourse Planning and management na hicho cha Urban Planning. Nchi waajiri wengi na Taifa tunajua masuala ya Utawala Chuo chake ni Mzumbe na Urban Planning inatakiwa kutplewa Chuo cha Ardhi. hata mimi ningekuwa mwajiri lazima Mtawala nitamchukua wa Mzumbe na Afisa Mipango Miji nitamchukua wa Chuo cha Ardhi wakati mtaalamu wa Mazingira nitamfuata SUA na Mlimani na Maendeleo ya Jamii nitaenda kumpata Tengeru.
Mipango wanatakiwa kubaki na programu zao za kuandaa Maafisa Mipango kupitia Regional Development Planning, Population Studies and Development na Development Economics. Hao hata huku sokoni na makazini uwezo wao unaonekana na waajiri wana amani na imani.
Nawasilisha maoni yangu Mzee wa Kikushi toka Southern Cushitic.
Tatizo hawaitwi kwa sababu muundo ya taasisi nyingi za Serikali ina kada za wachumi na watakwimu. hazina kada za maafisa Mipango katika miundo yao. hivyo hata katika tanganzo la ajira sifa zinazoainishwa na aina ya watu wanaotakiwa hamna Planning Officers.Kama wakiitwa kwenye interview wote wana nafasi sawa inategemea na mtu alivyojipanga kujibu maswali ya interview
Mbona hizo kada zipo na watu wanaitwa kwenye interview.Tatizo hawaitwi kwa sababu muundo ya taasisi nyingi za Serikali ina kada za wachumi na watakwimu. hazina kada za maafisa Mipango katika miundo yao. hivyo hata katika tanganzo la ajira sifa zinazoainishwa na aina ya watu wanaotakiwa hamna Planning Officers.
Unajua vizuri Regional Development Planning au umekuja tu huku mbio mbio. Unajua sawa sawa Afisa Mipango Miji ni nani ha graduate wa Regional development Planning aweze kuwa Afisa Mipango Miji?Mbona hizo kada zipo na watu wanaitwa kwenye interview.
Kwenye kada ya Afisa mipango miji,degree ya Ragional Development Planning inakubali
Maendeleo ya Jamii course ya Project Planning and Management inakubali
Sasa hizo course unazosema wewe hazitambuliki ni zipi ndugu
Labda nikuulize wewe unayeongea bila uthibitisho. Ninaongea kwa kutazama ushahidiUnajua vizuri Regional Development Planning au umekuja tu huku mbio mbio. Unajua sawa sawa Afisa Mipango Miji ni nani ha graduate wa Regional development Planning aweze kuwa Afisa Mipango Miji?
Usibeze malalamiko ya wadau kwamba graduate wa Mipango wanapata changamoto katika soko la ajira.
2.0 AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER) – NAFASI 1 2.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela. ii. Kuandaa michoro ya Mipangomiji. iii. Kupokea michoro ya Mipango miji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji. iv. Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi. v. Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja. vi. Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro. 2.2 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.Mbona hizo kada zipo na watu wanaitwa kwenye interview.
Kwenye kada ya Afisa mipango miji,degree ya Ragional Development Planning inakubali
Maendeleo ya Jamii course ya Project Planning and Management inakubali
Sasa hizo course unazosema wewe hazitambuliki ni zipi ndugu
hizi hapa chini sifa na kazi za AFISA MIPANGO.Mbona hizo kada zipo na watu wanaitwa kwenye interview.
Kwenye kada ya Afisa mipango miji,degree ya Ragional Development Planning inakubali
Maendeleo ya Jamii course ya Project Planning and Management inakubali
Sasa hizo course unazosema wewe hazitambuliki ni zipi ndugu