Kwa hiyo waliondaa mfumo wa ajira portal hawajui walichokifanya ?2.0 AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER) – NAFASI 1 2.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela. ii. Kuandaa michoro ya Mipangomiji. iii. Kupokea michoro ya Mipango miji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji. iv. Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi. v. Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja. vi. Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro. 2.2 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.
HIZO HAPO JUU KAZI ZA AFISA MIPANGO MIJI. HIZO KAZI REGIONAL DEVELOPMENT PLANNER SIYO KAZI ZAKE.
Mfumo ulivyotengenezwa kama mtu hana sifa unamkatalia kuomba.
Sasa inakuaje mfumo unamruhusu mtu kuomba ?