Afisa maendeleo ya jamiiKwa halmashauri mtu aliyesoma project planning anafanya kazi gani kwa mfano
Afisa mipango
Afisa mtendaji kata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afisa maendeleo ya jamiiKwa halmashauri mtu aliyesoma project planning anafanya kazi gani kwa mfano
Amesomea kozi gani ?Nina mtu kamaliza Mipango mwaka wa 5 huu kama sikosei, kazi zao nahisi zinapatikana mbinguni tu hapa duniani Tanzania hazipo hazitangazwi... Imebidi tumuache home asimamie frem za urithi apate kodi maisha yaende... Ila kungekua hakuna kinacho mpa matumaini ya kuishi mjini nahisi angekua amejiingiza kwenye matendo mabaya na hatarishi...
sijui makorokocho gani yanaitwa Development Planning nini na nini huko, nahisi hata yeye atakua kasahau course aliyosomeaAmesomea kozi gani ?
Okaysijui makorokocho gani yanaitwa Development Planning nini na nini huko, nahisi hata yeye atakua kasahau course aliyosomea
Development finance & investment planning , hii ipo mipango tu sio poa[emoji23][emoji23][emoji23]utasikia business planning&development, aloo zunguka taifa zima hakuna cozi kama hizi vyuo vyote zaid ya hapo mipango[emoji23][emoji23]
Naona development finance & investment planning , kumbe hii kozi inatambulika ajira portalhizi hapa chini sifa na kazi za AFISA MIPANGO.
POST CATEGORYS BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES
HR & ADMINISTRATION
LAND MANAGEMENT
PROJECT, PLANNING AND POLICY MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
APPLICATION TIMELINE 2021-07-20 2021-08-02
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa taarifa ya miradi na mipango ya maendeleo, idadi ya watu,
rasilimali watu, maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili
na uwekezaji na fedha;
ii. Kuwasaidia wananchi kuandaa mpango shirikishi wa jamii;
iii. Kubainisha vipaumbele vya ustawi wa maendeleo ya jamii, mazingira
endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
iv. Kuandaa taarifa za tathmini za athari za mazingira zinazotokana na miradi
Enviromental Impact Assessment – eia;
v. Kukusanya taarifa kwa ajili ya uandaaji wa mipango na bajeti;
vi. Kukusanya na kuweka kumbukumbu za idadi ya watu na rasilimali watu; na
vii. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha Major katika mojawapo ya
fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya
Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu Population and Development
Planning, Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha, Mipango ya Menejimenti
ya Rasilimali watu, Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na
Maendeleo ya Uchumi.