Mipango miji.. Chuo cha mipango Dodoma

Kwa hiyo waliondaa mfumo wa ajira portal hawajui walichokifanya ?
Mfumo ulivyotengenezwa kama mtu hana sifa unamkatalia kuomba.
Sasa inakuaje mfumo unamruhusu mtu kuomba ?
 
Okay basi tuseme kule kwenye afisa mipango miji mtu hawezi kuomba lakini katika tangazo hili ambalo wewe mwenyewe umeleta unasema waliosoma mipango ya maendeleo ya mikoa wana sifa za kuomba kazi hiyo. Sasa inakuaje mtu anasema course zinazotolewa pale hazitambuliki kwenye ajira ?
 
Acha uongo..nyie ndio mkiwa ma meneja utumishi kwenye taasisi mtatesa sana watu ... aliyekuambia chuo Cha mipango kinatoa kozi mbovu nani ..mtaala wa chuo unapitishwa na wizara ya fedha ambayo ndio mlezi wa hicho chuo ..mbona Kuna wengi tu wameajiriwa na wamesoma hapo ......hizi Imani zenu za kuwa elimu Bora inatolewa chuo flan tu ni za kizamani na kishamba ..Tena IRDP wanafundisha competency vizuri kabisa Kwa vitendo.. wanatumia CBET system wakati mzumbe wanatumia SKBET system..yaan skill based training system..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watu wakikaa kijiweni basi wanapeana story kisha wanazileta kama zilivyo bila hata ya kuzichambua
 
Yaani watu wakikaa kijiweni basi wanapeana story kisha wanazileta kama zilivyo bila hata ya kuzichambua
Hawa ndio wanaowachagulia watoto wao nini Cha kusoma ...ujuaji mwingi usio na faida ..Kuna washkaj zangu wamesoma finance mipango..na wamepata kazi ,,na kuna BAF hapo mzumbe wanazungusha bahasha... perception zao zimejaa disinformation nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umehaki kwa masaburi bila kutumia akili. Tulia kwanza usome kwa utulivu ujumbe uliopo ktk andishi langu then uje ukiwa na settled mind.
 
Kabisa watu wamekariri vibaya
 
mkuu hyo course aliyoitaja mtoa mada kwa mipango bado inabdi waifanyie maboresho maana wanafunzi wanasoma Mambo meengi yasiyohusiana na maendleo ya miji lakin pia kwenye kutumia software Kama AutoCAD,arch GIS n.k bado n changamoto kwa wahitimu wa pale kwenye hyo course japo kwenye kufahamu Mambo inategemeana na mtu mwenywe
 
Mim nimesoma mipango... finance na nilikuwa na jamaa yangu anasoma urban..hizo software unazotaja wanafundishwa Tena practically kabisa ...na huwezi soma hyo kozi kama huna PC ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nimesoma mipango... finance na nilikuwa na jamaa yangu anasoma urban..hizo software unazotaja wanafundishwa Tena practically kabisa ...na huwezi soma hyo kozi kama huna PC ..

Sent using Jamii Forums mobile app
hata Mimi n mwenyew nmesoma mipango mkuu nasema nachokifahamu lakin piaa hapo unaposema kuwa huwez kusoma urban Kama hauna pc nafkr kwenye uhalsia haipo hvyo watu wanahitmu pale hata kushika mouse atengenze mchoro hawezi na hzo hawana
 
Izo ni personal issues

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleke Jiji akajitolee (volunteering)
 
Kwa halmashauri mtu aliyesoma project planning anafanya kazi gani kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…