Mipango miji.. Chuo cha mipango Dodoma

Nina mtu kamaliza Mipango mwaka wa 5 huu kama sikosei, kazi zao nahisi zinapatikana mbinguni tu hapa duniani Tanzania hazipo hazitangazwi... Imebidi tumuache home asimamie frem za urithi apate kodi maisha yaende... Ila kungekua hakuna kinacho mpa matumaini ya kuishi mjini nahisi angekua amejiingiza kwenye matendo mabaya na hatarishi...
 
Amesomea kozi gani ?
 
Naona development finance & investment planning , kumbe hii kozi inatambulika ajira portal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…