Sera ya Ujamaa ilianzisha Vijiji vya ujamaa,. Ni chini ya sera za ujamaa miji kama Arusha, Moshi, Songea, Mtwara, lindi, Mbeya, Iringa, Bukoba.. nk ilipangwa .. na unaweza kuona utofauti wake na miji ya kibepari kama pembezoni mwake miji hii yote, Miji mipya kama, Mkata, Chalinze, Mikese, Mikumi ..imekuja na uliberali ambao kwa uwazi unaona lack of generalized focus na mji unakuwa simply a collection of household ...zenye fikra maono na malengo tofauti.. its just chaotic..
Anguko la Azimio la Arusha limezalisha watu wabinafsi.. na its apparent in the cities we are building now.
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app