Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua.

Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita vya matendo.

Afrika bila viongozi imara na wakuweza kujitambua ni ngumu sana kutoka kwenye mdomo huu wa mamba. Bahati baya nchi nyingi pasipo kujua hujikuta wakiwekewa ( kwa mgongo wa Demokrasia) kiongozi ambaye yuko chini ya kwato za hawa wanyama na asiye na maono, wasiweze hata kufurukuta.

Nipende kuwakumbusha wananchi wenzangu ni wakati sasa wa kufunguka VITA HIVI NI VIGUMU.

#LALASALAMAJPM
Your browser is not able to display this video.


Mods naomba msifute/kuunga uzi huu video iwafikie wengi.
 
Mods futeni hii takataka tumeshachoka na mawazo mgando wa wapuuzi.
Upo sahihi. Nadhani kuna shida kwenye Mfumo wetu wa Elimu. Karne ya 21 mtu anakuja na mawazo muflisi kama haya? Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…