Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.

Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.

Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!
 
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.

Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Achana na topup kabisa,hilo ni nyonyadam balaa,ukipewa hyo 17 utashangaa mkopo mzima utakaoingizwa kwenye salary slip utasoma karibia mara 3 ya ulichoingiziwa,kimbia mbio nyingi sana.
Kuna sehemu nilienda kuulizia eti wananipa 9.9M,halafu kwenye slip inaingizwa 44M

Top up ni nzuri ukibakisha muda mfupi wa kumaliza mkopo wako.

Hesabu zao zina siri nyingi sana
 
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.

Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Mimi biashara ya top up nilishaachana nayo. Ni ujambazi wa kutumia silaha kubwa....
 
Mkopo ni laana achana na hio kitu,ukichukua 60 marejesho lazima uwape m 39 faida Yao.
So hizo ni Hela zako ndizo unakopeshwa.
Labda Kama unayo biashara uijuao vizuri uingize pesa huko japo biashara kwa Hela ya mkopo nayo ni laana zaidi.
Mikopo imewafanya watumishi wengi kuwa masikini zaidi.
 
Mimi biashara ya top up nilishaachana nayo. Ni ujambazi wa kutumia silaha kubwa....
Na ukishaanza kutop up hautoacha hadi unastaafu ukiwa masikini Bora utumie kanuni ya time yaani kila mwezi tofali kadhaa,Jenga mdogo mdogo kwa time.
Kopa kama unalipa ada,kuwekeza kwenye biashara ya majengo na viwanja,nje ya hapo tegemea kilio Cha mbwa koko yaani unalipia deni ambalo umepata hasara
 
Pana mwenzio alikopa milion 50 enzi hizo akachukua m15 akanunua gari ya kutembelea akachukua m 5 akafanya sherehe ya kuaga umasikini then m30 akazitia kwenye biashara.
Biashara ikazungusha,gari akauza.
Akabakia majuto.
Pesa upoteze pesa kwenye starehe hakunaga maumivu kuliko kupoteza pesa kwenye project then izungushe ndo utajua ujui.
 
Uwe tu makini wakati wa kusaini makaratasi yupo mwenzako humu alikuja kulia amekopa 14mill marejesho 39mill.

Epuka vicheko vya maafisa mikopo na offer za soda Watanzania hatujawahi kuwa wakarimu kiasi hiko utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom