Achana na topup kabisa,hilo ni nyonyadam balaa,ukipewa hyo 17 utashangaa mkopo mzima utakaoingizwa kwenye salary slip utasoma karibia mara 3 ya ulichoingiziwa,kimbia mbio nyingi sana.Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.
Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Mimi biashara ya top up nilishaachana nayo. Ni ujambazi wa kutumia silaha kubwa....Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.
Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Na ukishaanza kutop up hautoacha hadi unastaafu ukiwa masikini Bora utumie kanuni ya time yaani kila mwezi tofali kadhaa,Jenga mdogo mdogo kwa time.Mimi biashara ya top up nilishaachana nayo. Ni ujambazi wa kutumia silaha kubwa....
NMB hawana hizoUwe tu makini wakati wa kusaini makaratasi yupo mwenzako humu alikuja kulia amekopa 14mill marejesho 39mill.
Epuka vicheko vya maafisa mikopo na offer za soda Watanzania hatujawahi kuwa wema kiasi hiko utakuja kunishukuru.
Mimi mkuu kwani nimekubishia?Nmb h
NMB hawana hizo