rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE
Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!!
Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara baada ya kutoka Gerezani,Mnakumbuka kwamba Mwenyekiti aliwahi kuwa Gerezani miezi minane.??
Katika hatua hiyo kuna mengi yaliyo kuwa nyuma ya Pazia na yaliyo kuwa yakiendelea na Msio fahamu hawa wote waliwahi kuwa marafiki wa karibu na tulipenda wanavyo Tembea Pamoja au kuwa Jukwaa moja wafuatao.
1. Mhe.Lema
2. Mhe.Lissu
3. Mhe.Sugu
4. Xxx.Msigwa
5. Mhe.Wenje
6. Mhe.Heche
Hawa walikuwa marafiki wa kudumu sana lakini leo hawataki kusema kweli nini kimefanya wagombane na watufikishe hapa ukweli ni kwamba sababu zinazo SEMWA sio kweli LISSU anapaswa aseme ukweli na Msigwa anapaswa aseme ukweli kilicho mkimbiza na LISSU na Msigwa kwanini ni Marafiki wa kufa😁
Mnakumbuka kuwa wakati Mwenyekiti wa chama Taifa yupo Gerezani makamu wake Mwenyekiti alikuwa Ubelgiji na tayari alikuwa amesha pona maana kama alikuwa ameshiriki kampeni za 2020 maana yake afya yake ilikuwa walau imara.
Katika Mapito ya Freeman Mbowe akiwa Gerezani Makamu wake Mwenyekiti aliamini Mwenyekiti hawezi tena kutoka na mkoleza Sana hizo alikuwa Pitar Msigwa na ndio maana Mhe.LISSU hakuweza kurudi kuja kutumia taaluma yake kumtetea Mwenyekiti wake MBOWE ambaye alimsaidia katika Shambulio la aibu.
Mnakumbuka wakati wa Kesi ya Kinondoni ya Akwilina Akwilina Makamu mwenyekiti wa Chadema alikuwa Profesa Abdala Safari alipo ona Viongozi wote wamefunguliwa kesi aliongoza Jopo la Mawakili kutetea Viongozi wenzake ilikuwaje kwa TUNDU LISSU kushindwa kuja kusimamia kesi ya Mwenyekiti wake??
Ukiachilia hilo LISSU hakuona umuhimu wa Kuja kushiriki kesi ya Mbowe na badala yake alipo rejea nchini wakati wa Uchaguzi wa TLS alilazimika kulipia leseni yake ili apige kura kumchagua Mwambukusi yaani LISSU aliona umuhimu wa taaluma yake ni kumchagua Mwambukusi na si kuhuisha Leseni kwenda Kumtetea Freeman Mbowe ambaye alikuwa anasota Gerezani kama alivyo fanya Profesa Abdala Safari ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mbowe akiwa Gerezani miezi minane huku nje Siku moja Pitar Msigwa na Marafiki zake nilio wataja hapo juu walikuwa kwenye mazungumzo FLANI ya chama wakati wa Mazungumzo Piter Msigwa aliwaambia wenzake kwanini Makamu Mwenyekiti asithibitishwa kuwa Mwenyekiti wa chama Taifa yaani LISSU na Sababu ni kwamba Mwenyekiti Taifa hawezi kutoka huku Msigwa akiwahakikishia anataarifa za mfumo hivyo nibora wazibe nafasi,
Wenzake Kina Heche/Lema/Sugu/Wenje walimsikiliza na wakasema tujipe muda wa hili.
Msigwa alipo ona vile alirejea kwa LISSU kumpa taarifa na baada ya kumpa taarifa LISSU alimshauri Msigwa kuwa ili jambo ilo liweze kwenda vizuri lazima Kupatikana uhalali wa kikatiba ambao unatoa fursa ya kuhalalisha LISSU kuwa Mwenyekiti maana LISSU alitafuta uhalali wa Kikatiba kwanza ambapo akampa Maelekezo Msigwa aanze kusimamia akiwa nchini.
1. Atafute mjumbe wa Kamati kuu ili aweze kupenyeza agenda kwenye group la kamati kuu kuhusu mjadala huo au kupenyeza kwenye Sekretarieti ya chama ili wafanyie kazi Mtu huyo alipatikana anaitwa Gaston Garubindi aliye kuwa Mwenyekiti wa kanda ya Magharibi akawa ndio kipaza sauti,Waliratibu agenda kwanza ya Kuziba nafasi za Wenyeviti wa kanda zilizo wazi katika Mpango huo wakaseti agenda kuwa Makamu Wenyeviti wote wa Kanda ambazo hazina Wenyeviti wawe Wajumbe wa Kamati Kuu lakini Katiba ya Chama haisemi Makamu mwenyekiti atakaimu nafasi ya Ujumbe wa kamati kuu haswa pale katiba ilipo sema kuwa Wawakilishi wa Viongozi hawata kuwa na maamuzi hivyo Makamu Mwenyekiti ni Mwakilishi wa Mwenyekiti, hivyo jaribio la kumpindui Mbowe lilikuwa na umakini Mkubwa sana,hilo likafanikiwa kwa kupatiwa uhalali kiana ndio maana
Baraka Mwago alikuwa Makamu Mwenyekiti kanda ya Pwani baada ya Uchaguzi wa Kanda ya Pwani pale Kibaha wajumbe kumpigia kura za hapa a Frederick Sumai na Sumaye kukimbilia CCM nafasi ilibaki wazi.
Gimbi Doto Masaba wakamfanya kuwa Mwenyekiti wa kanda baada ya Estate Matiku kuwa Mbunge Covid 19 huku wakijua Gimbi ni Makamu Mwenyekiti wa kanda ya Serengeti na wakamfanya Gimbi kuwa Mwenyekiti wa kanda Bila Uchaguzi na kuwa mjumbe wa Kamati Kuu yote hayo yaliratibiwa na Msigwa kwa Misheni ya yeye na TUNDU LISSU na Wameongoza miaka mitano huku katiba inasema anae kaimu anapaswa kukaimu miezi sita.
Aisha Luja ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wa kanda ya Kati huku Mwenyekiti wake akiwa Lazaro Nyalandu baada ya Nyalandu kuondoka kuhamia CCM,katika misheni ya Msigwa na LISSU bila wengine kujua wakafanya Makamu mwenyekiti Aisha Luja kuwa Mwenyekiti wa kanda huku akishika nafasi mbili.
Katika Misheni hii iligonga mwamba kanda ya Kusini ambapo Mwenyekiti wa Kanda Methweu alihamia CCM na Makamu wake Barani aliacha Siasa Mkakati wao Ukaona bora Kanda ile kwa miaka mitano isiwe na Viongozi maana wangesema Uchaguzi ufanyike kanda zingine zingedai Uchaguzi walikaa kimnya na miaka mitano imepita kanda haina Viongozi,
Itakumbukwa kuwa baada ya mkakati huo wa kuwafanya Makamu wenyeviti wa kanda kuwa Wenyeviti wa Kanda kinyume cha Katiba na wameongoza miaka 4 badala ya miezi sita Uchaguzi kufanyika Walitafuta hoja ingine ili itakapo fika wakati wa Kumthibitisha LISSU kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa kusiwe na kelele inamaana watasema mbona Kwenye kanda Makamu wenyeviti wanakaimu na ndio wenyeviti,
Wakati yanafanyika haya wengi waliona ni nia njema na hata Katibu Mkuu hakujua kabisa,Ilikuwa ya wachache na hata walio kuwa Makamu wenyeviti walipo kuwa wana pandishwa kuwa wenyeviti nao hawakujua lakini ukitaka kuona nia ovu katikati ya LISSU kama makamu mwenyekiti ambaye anatekeleza majumu ya Mwenyekiti akiwa hayupo alishindwa kujibu kwanini watu wakarimu miaka 4 badala ya miezi 6 na kwanini mtu mmoja awe na nafasi mbili kwenye ngazi moja ambapo katiba inakataa.?
Wakahamia Ngazi ya Taifa mtakumbuka kuwa Sekretarieti ya Chama ilitanga Uchaguzi wa Bawacha kwa ngazi zote zilizo achwa wazi Baada ya Covid Kufukuzwa ikiwemo ya Mwenyekiti wa Bawacha Taifa/Makamu Mwenyekiti bara/Katibu Mkuu na Naibu katibu mKuu na Mwenezi nafasi zote wanachama waliomba na kugombea lakini cha ajabu LISSU na Msigwa kwenye Kamati Kuu kwakuwa walikuwa na mipango yao walilazimishaWalio Gombea warudishiwe hela zao kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Uchaguzi ufanyike kwenye Nafasi zingine maana lengo ilikuwa ni kutengeneza njia LISSU awe Mwenyekiti maana ni Makamu mwenyekiti na msingi wa hayo ulianzia kwenye kanda kadhaa kuwafanya Makamu wenyeviti kuwa wenyeviti wa Kanda,
Hivyo Makamu Mwenyekiti wa Bawacha Zanzibar Bi Sharifa ndio akawa Mwenyekiti wa Bawacha Taifa na wakati huo akiwa Makamu mwenyekiti Bawacha Zanzibar,katiba inakataa mtu mmoja kubwa na nafasi mbili ngazi moja mfano usiwe na nafasi mbili ngazi ya Taifa kwenye chombo kimoja Katika kitu cha kushangaza utaona leo Tanzania bara hakuna Makamu Mwenyekiti Bawacha Taifa au kabla ya uchaguzi kanda ya kati/Pwani/Serengeti hakukuwa na makamu wenyeviti 😁 HAYO YOTE YALIFANYIKA MIKONONI MWA LISSU wakati MBOWE yupo Gerezani miezi 8.
Kwamba LISSU ndio anataka kuwa MWENYEKITI KWA SASA miezi Nane kuvuruga kila kitu😁
Walipo Maliza kusuka uhalali kwenye Kanda na kwenye Mabaraza bila kuona athari zake wakatafakari sasa tunawezaje kulikamilisha hilo la Kumfanya LISSU kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Msigwa akaja na wazo la Kutafuta Fedha ili Aitishwe Mkutano Mkuu wa Chama ili LISSU Athibitishwe Rasmi kuwa Mwenyekiti,Ikaonekana kuwa Chama hakina fedha wakatengeneza Mpango wa Kutafuta fedha unaitwa Join the Chain katika mpango huo Mwenyekiti alikuwa Lema na katibu alikuwa Catherine,Msigwa akapendekeza kwenye kikao kuwa wajumbe wa Kamati Kuu waende Kenya wakutane na LISSU ili wazindue maana LISSU alikuwa amekataa kurudi Nchini ili uhakikishiwe Usalama wake,Wajumbe walio kwenda kenya ni.
1. LISSU
2. Baraka Mwago
3. WENJE
4. HECHE
5. CATHERIN
6. GARUBINDI
7. MSIGWA
Wakiwa Kenya huku sisi Tanzania tukihamasishwa kuchangia Join the Chain ndio jioni baada ya Kazi Msigwa akaropoka kwa wenzake kuwa kazi yetu imeisha ivyo LISSU jiandae kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa maana Join the Chain italeta fedha ya Kuitisha mkutano mkuu ili uthibitishwe maana Msigwa na LISSU Wakisisitiza Mbowe hawezi toka Gerezani
Baada ya Uzinduzi Jioni wakiwa kwenye mazungumzo katika maneno hayo na mipango ile baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu waliona kama sio sawa na wakanaza kuona kama ni Mikakati ya mapinduzi kwani kazi iliyo kuwa mbele ni kupambana Mwenyekiti atoke Gerezani lakini sio kugawana vyeo walikaa kimnya ndipo👇🏽
WENJE alipo rudi Nchini alikwenda Gerezani kumwambia Mwenyekiti wa Taifa kwamba kuna mipango inapangwa ya kuitisha mkutano mkuu na kumthibitisha LISSU kuwa Mwenyekiti wa Taifa hapo ndipo chuki ya Wenje na LISSU/MSIGWA NA HECHE Viliibuka Lema akaamua kujitenga na uovu japo alijua.
Baada ya Mwenyekiti kujua NAE Mungu si athumani katikati ya Mipango ya Join the Chain Mwenyekiti wa Taifa akatoka Gerezani iliwauma sana na ndio maana Mbowe alipo Toka Gerezani Moja kwa moja aliambia kamati kuu Nimepewa wito na Rais na alienda,
Maumivu ya Msigwa na LISSU kutoka jela yalikuwa makubwa ambapo ndio yakakoleza moto kuwa lazima tuendelee kumchafua na kushughulika na Mbowe.
Jaribio la Kumpindua mbowe liliratibiwa Miezi 8 na lilikufa Rasmi Alipo toka Jela.
Hivyo Msitegemee mbowe asemwe mazuri maana wapanga mipango wanajaribu kuficha uovu wao.
UONGOMVI WA LISSU NA WENJE ni Wenje Kutoa Siri za Mapinduzi ndio maana wote walio kuwa kwenye Mpango wa Mapinduzi walipigwa chini kwenye chaguzi za Kanda.
Yaani LISSU anajaribu Kumchafua Wenje sio kwa Bahati Mbaya ni kwasababu Wenje alitoa siri na maumivu ya kuanikwa hadharani ni makubwa sana.
Kwamba ukiwa na urafiki na mtoto wa Rais ni dhambi 😁.
MKEKA ulikuwa hivi.
1. Mwenyekiti wa Chama LISSU
2. Makamu Mwenyekiti Msigwa
3. Katibu Mkuu Heche
4. Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Rose Mayemba
5. Mkurugenzi wa Sheria Garubindi.
Hawa watu kwa sasa wanahasira na Mbowe ya kufa mtu na wanamchukia Wenje maana aliuza mkanda wa Mapinduzi.
........inaendelea!!!??