Aingaliw sababu ya kufa,kinaangaliwa kifo..NAN ANEYECHUKUA ROHO??????Mungu anasingiziwa mambo asiyosababisha.Mtu anafanya kosa anapata tatizo alafu watu wanasema ni mipango ya Mungu.Je umejua kwa nini mtu Fulani amekufa? je labda sababu ni kutumia dawa za kulevya kama ilivyo kwa wasanii wengi? Au amekufa kwa accident ya gari na aliendesha akiwa amelewa? Au amekufa kwa kansa sababu ya uvutaji sigara?
Jua sababu kwanza
Yaani walokole mnanikera hpo tu pakujiona nyie ndio wasafi sana hata km unafanya mema usijikweze ndugu jishushe mwenyezi atakupandisha mwana dini gani ww?Namshukulu mungu njia yangu ya kwenda kwa mungu ni safi kidogo, ila naendelea kuisafisha wakati wa kupita kusiwe na pingamizi lolote. wengine njia zao hazipitiki kabisa kwa madhambi yao.
Mm pia nimemshangaa sana najua tu lazma atakua mlokole hyu wanakera sana hwa jamaa!Mpaka hapo njia yako ni chafu sana kuliko zote
Wewe utajisifu vipi kujilinganisha na wengine?
Kama mungu yupo, kwa nini aruhusu mipango yake imnyang'anye Celine Dion mume wake na kaka yake katika kipindi kifupi hivyo?
Huyo mungu alishindwa kumpa Celine Dion hata mwezi?
Halafu naye sasa hivi ni mgonjwaNimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza watu wawili muhimu kwake in 48hours kweli mipango ya Mungu ni ya ajabu na niya pekee
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu
Last month alitrend mtu mchafu zaidi duniani, juzi kafaHuu uzi umefufuliwa basi ujue kuna kitu au huyu bibi keshatembea na yeye
Mungu kashindwa kutunusuru na misiba inayofuatana hata mwezi haujaisha mtu anapata misiba miwili ya watu wa karibu?Ampe mwezi wa kufanya nini?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote afanye kitu cha kikatili kama kumtenganisha mtu na watu wake wa karibu wawili kwa mpigo?
Jibu langu la msingi nilikuuliza, huyo Mungu hana huruma ya kumpa mwezi kati ya misiba miwili asipate misiba inayofuatana mmoja baada ya mwingine?Swali langu la msingi nimekuuliza kuwa, ulitaka Mungu ampe mwezi mmoja wa kufanya nini?
Inategemea unakichukuliaje kifo.... ntakupa fumbo... anapozaliwa mtu, yeye ndio analia, halafu anapoaga, wengine ndio wanalia...Mungu kashindwa kutunusuru na misiba inayofuatana hata mwezi haujaisha mtu anapata misiba miwili ya watu wa karibu?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote afanye kitu cha kikatili kama kumtenganisha mtu na watu wake wa karibu wawili kwa mpigo?
Huyu Mungu yupo kweli? Au tumemtengeneza sisi wenyewe kwenye mawazo tu?
Mbona sifa zake za upendo usio kifani na na hayo yanayosemwa kuwa ni matendo yake yanayojidhihirisha kwa aliyoachia yatokee duniani haviendani?