Pre GE2025 Mipango ya Team Mbowe (FAM) kushinda uchaguzi, Kujitangaza ni 100%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi.

2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili.

3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi.

4. Vitisho vinaendelea kwamba wote wanao msupport lissu hatua kali zitachukuliwa kwao baada ya uchaguzi.

5. Hii bado inafanyiwa kazi- lissu kufutiwa uanachama kwa makosa ya kutoa siri za vikao vya kamati kuu kabla ya uchaguzi.

Team FAM wanajua uchaguzi huu hauna mfano ,kushindwa ni moja ya matokeo.
 
Wasije kujaribu....
Wasije kujaribu ..

Watapotea kama upepo..
 
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi.

2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili.

3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi.

4. Vitisho vinaendelea kwamba wote wanao msupport lissu hatua kali zitachukuliwa kwao baada ya uchaguzi.

5. Hii bado inafanyiwa kazi- lissu kufutiwa uanachama kwa makosa ya kutoa siri za vikao vya kamati kuu kabla ya uchaguzi.

Team FAM wanajua uchaguzi huu hauna mfano ,kushindwa ni moja ya matokeo.
Na saccos inaenda kufa
 
Tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ 🤣
Hizi tetesi inawezekana ni uongo au ukweli, ila 12B+ sio pesa ya kitoto 🤣
 
Back
Top Bottom