Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 274
Ndiyo nakaribia kuacha
Duh hiyo kaliKwa Mama Mkwe.
Kwa Mama Mkwe.
Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine Bar,Kitandani na nk
Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa
1)Kitandani wakati nautafuta usingizi
2)Katika Daladala
3)Chooni nikijisaidia haja kubwa
Je wewe unawazaga wapi mipango yako.
Kivip
Unashangaa?3)Chooni nikijisaidia haja kubwa [emoji15][emoji44][emoji15][emoji44][emoji848][emoji87][emoji87]
Jr[emoji769]
Inatiki tena haraka tumipango gani unaipanga uku unakata gogo?
itatiki kweli iyo mipango?
Hiyo nimeipendaNikioga bafuni aiseeeee, huwa nachukua mda mwingi sana kufkiria, miwazo mengi sana, huwa naoga maji moto kutokana na hali ya nchi, mgeto niko alone so akuna mtu ninaemkera ata nikikaa sana bafuni, sometimes najisahau kama naoga kwa mipango ninayofkiria mpaka nakuja kushtuka mwili wote umekua mwekundu kwa kuchezea maji moto
Sent using Jamii Forums mobile app
mipango gani unaipanga uku unakata gogo?
itatiki kweli iyo mipango?