Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 274
Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine bar, kitandani na nk.
Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa
1) Kitandani wakati nautafuta usingizi
2) Katika Daladala
3) Chooni nikijisaidia haja kubwa
Je wewe unawazaga wapi mipango yako?
Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa
1) Kitandani wakati nautafuta usingizi
2) Katika Daladala
3) Chooni nikijisaidia haja kubwa
Je wewe unawazaga wapi mipango yako?