Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
226
Reaction score
274
Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine bar, kitandani na nk.

Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa
1) Kitandani wakati nautafuta usingizi
2) Katika Daladala
3) Chooni nikijisaidia haja kubwa
Je wewe unawazaga wapi mipango yako?
 
3)Chooni nikijisaidia haja kubwa [emoji15][emoji44][emoji15][emoji44][emoji848][emoji87][emoji87]
Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine Bar,Kitandani na nk
Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa
1)Kitandani wakati nautafuta usingizi
2)Katika Daladala
3)Chooni nikijisaidia haja kubwa
Je wewe unawazaga wapi mipango yako.

Jr[emoji769]
 
Mimi kichwa changu huwa na ufanisi zaidi nikipanga mipango yangu nikiwa beach yenye utulivu,hapo kila kitu huwa kinapangwa kuanzia mipango ya muda mfupi,kati na muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikioga bafuni aiseeeee, huwa nachukua mda mwingi sana kufkiria, miwazo mengi sana, huwa naoga maji moto kutokana na hali ya nchi, mgeto niko alone so akuna mtu ninaemkera ata nikikaa sana bafuni, sometimes najisahau kama naoga kwa mipango ninayofkiria mpaka nakuja kushtuka mwili wote umekua mwekundu kwa kuchezea maji moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mipango gani unaipanga uku unakata gogo?
itatiki kweli iyo mipango?
 
Nikioga bafuni aiseeeee, huwa nachukua mda mwingi sana kufkiria, miwazo mengi sana, huwa naoga maji moto kutokana na hali ya nchi, mgeto niko alone so akuna mtu ninaemkera ata nikikaa sana bafuni, sometimes najisahau kama naoga kwa mipango ninayofkiria mpaka nakuja kushtuka mwili wote umekua mwekundu kwa kuchezea maji moto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nimeipenda
 
Nikiwa kitandani hasa alfajiri na muda kama huu.
 
Back
Top Bottom