Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali.

Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa la Nyerere ili wakimbilie kwenye gesi?

Mafisadi wanajiuliza wamzuie vipi kandarasi anayechimba bandari ya Dar ili wakimbilie kusaini bandari ya Bagamoyo?

Pia makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi.

Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA , ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa misaada mbalimbali. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja kilichotabiriwa na Lisu kilichotimia maaana yake aliwadanaganya watanzania, yani licha ya kusoma kwa kodi za watanzania yeye anakuja kufanya kazi ya kuwadanganya watanzania!

Kinyume na utabiri wa Lisu, Tanzania ya sasa imeingia uchumi wa kati, hatujashitakiwa MIGA na viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza. Mapato ya madini yamepanda kutoka billioni 100 hadi billion 500, ndege hazikamatwi na watanzania ni wamoja zaidi kinyume na utabiri wake.

Baada ya kuona aibu Tundu Lissu na Lema badala ya kuwaomba msamaha Watanzania wao wamekimbilia Ulaya kwenda kulishwa bure na wazungu.

Lema na Lissu rudini nyumbani muwaombe msamaha Watanzania muanze kuishi kwa jasho lenu kwa kufanya kazi na siyo kulelewa.
 
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
 
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji482][emoji482][emoji219][emoji219][emoji482]
 
Ma Samia ameonyesha uimara na kutokuwa na ubinafsi. Wengi tulitegemea miradi hii itatelekezwa na kuanzisha ya kwake huku akiiponda Kama alivyofanya marahemu na mradi wa bandari Bagamoyo.

Hongera Mheshimiwa Rais. AnakamIlisha vipande vya SGR Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Lakini umeonyesha ujasiri na wewe kwa kuanzisha na kutoa fedha za kujenga kipande Cha Dodoma + Singida + Tabora + Shinyanga + Mwanza. Na treni na behewa zake zimeshalipiwa anasubiriwa mzabuni kuzileta. Inatia moyo Sana.

Hongera pia Marehemu JPm
 
Hongera Mheshimiwa Rais. AnakamIlisha vipande vya SGR Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Lakini umeonyesha ujasiri na wewe kwa kuanzisha na kutoa fedha za kujenga kipande Cha Dodoma+Singida+Tabora+Shinyanga+Mwanza. Na treni na behewa zake zimeshalipiwa anasubiriwa mzabuni kuzileta. Inatia moyo Sana.

Hongera pia Marehemu JPm
Sasa angesimamisha miradi iliyoanza
 
Magufuli alikuwa mwizi ninyi Mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu??

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Ntagusia pesa za Shelisheli onhooo
Ntagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Ntagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Hebu funguka ndugu. Tunapenda tuyajue haya kiundani.
 
Ma Samia ameonyesha uimara na kutokuwa na ubinafsi. Wengi tulitegemea miradi hii itatelekezwa na kuanzisha ya kwake huku akiiponda Kama alivyofanya marahemu na mradi wa bandari Bagamoyo.

Hongera Mheshimiwa Rais. AnakamIlisha vipande vya SGR Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Lakini umeonyesha ujasiri na wewe kwa kuanzisha na kutoa fedha za kujenga kipande Cha Dodoma+Singida+Tabora+Shinyanga+Mwanza. Na treni na behewa zake zimeshalipiwa anasubiriwa mzabuni kuzileta. Inatia moyo Sana.

Hongera pia Marehemu JPm
Umefurahisha sana.
 
Lisu ni habari nyingine sana mkuu

Kitu ambacho hakutabiri ni kifo cha Magufuli tu

Aliamini Magufuli ataishi sana kama angeishi sana huo utabiri ungevuka lengo kabisa

Hivi huoni nchi imetulia kwasasa?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alikuwa mwizi ninyi Mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu??

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Ntagusia pesa za Shelisheli onhooo
Ntagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Ntagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Si useme unamtishia nani na masharubu yako hayo....the man was your threat in person that is why every day you bad-mouthing against him

Sema chochote kisha utaumbuliwa wewe ni nani na kwanini sasa hivi unaweka chuki zako binafsi dhidi ya mtu ambaye hayupo kujitetea.
 
Magufuli alikuwa mwizi ninyi Mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu??

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Ntagusia pesa za Shelisheli onhooo
Ntagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Ntagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Marehemu hasemwi
 
Ma Samia ameonyesha uimara na kutokuwa na ubinafsi. Wengi tulitegemea miradi hii itatelekezwa na kuanzisha ya kwake huku akiiponda Kama alivyofanya marahemu na mradi wa bandari Bagamoyo.

Hongera Mheshimiwa Rais. AnakamIlisha vipande vya SGR Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Lakini umeonyesha ujasiri na wewe kwa kuanzisha na kutoa fedha za kujenga kipande Cha Dodoma + Singida + Tabora + Shinyanga + Mwanza. Na treni na behewa zake zimeshalipiwa anasubiriwa mzabuni kuzileta. Inatia moyo Sana.

Hongera pia Marehemu JPm
Aligombea urais huyo mama mpaka aanzishe yake?
Ameanzisha mradi wa Royal Tour anaupiga mwingi vile vile
 
Endeleeni kumuogopa tu hata kama kishakufa!!! Kipind hiki ndo tunaishi kitanzania sio kinafki na uongo!!! Mama samiah twende tuuu ingawa kuna mambwa machache ka haya bdo yko kwe system uyatoe taratibu
 
Ma Samia ameonyesha uimara na kutokuwa na ubinafsi. Wengi tulitegemea miradi hii itatelekezwa na kuanzisha ya kwake huku akiiponda Kama alivyofanya marahemu na mradi wa bandari Bagamoyo.

Hongera Mheshimiwa Rais. AnakamIlisha vipande vya SGR Dar-Morogoro, Morogoro-Dodoma. Lakini umeonyesha ujasiri na wewe kwa kuanzisha na kutoa fedha za kujenga kipande Cha Dodoma + Singida + Tabora + Shinyanga + Mwanza. Na treni na behewa zake zimeshalipiwa anasubiriwa mzabuni kuzileta. Inatia moyo Sana.

Hongera pia Marehemu JPm
Kwa kweli siyapendi CCM ila kwa SGR,Busisi na upanuzi wa Bandari ,ill give it to him and big up to both JPM and Samia kwa kuendeleza, ni kazi itakayokumbukwa na kufaidisha generations to come, ila pua zenu CCM hamhusiki maana tunajua bila JPM hakuna kitu kingefanyika hapo
 
Kumbuka upembuzi yakinifu na mpango wa mradi ulianza kipindi Cha JK.

Kwa hiyo kila mtu anastahili pongezi
 
Yaaaani umeanza vizuri saaana

Ulikuja kuharibu ulipoonyesha ujinga wako kuhusu habari za T. A. Lisu. Bora ungekaa kimya tuu
 
Back
Top Bottom