Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa hapo ndiyo umethibitisha?Ungekaa kimya kuficha ujinga wako ingekulipa sana.Hilo liko wazi huyu gaidi alicheleweshwa sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo ndiyo umethibitisha?Ungekaa kimya kuficha ujinga wako ingekulipa sana.Hilo liko wazi huyu gaidi alicheleweshwa sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😀Mwaka mboga mkuu.Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
WAKATI ULE WENGI WALIOKUWA WANALALAMIKA NI WATU WENYE UWEZO, SASA HIVI WANAOLALAMIKA NI WALALA HOI.Lisu ni habari nyingine sana mkuu
Kitu ambacho hakutabiri ni kifo cha Magufuli tu
Aliamini Magufuli ataishi sana kama angeishi sana huo utabiri ungevuka lengo kabisa
Hivi huoni nchi imetulia kwasasa??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umeuliza swali lile lile kama ambalo aliuliza Prof Assad! Na mimi nimeuliza hapa hatujapewa jibu!Uwanja ulijengwa kwa trilion 1.5?
Mwndazake alifanikiwa kumobilize group ambayo aliweza kui indoctrinate na wakawa waumini wake. Hao itachukua decades kufahamu hilo.Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Madhara ya shule za kata haya. Ukijumlisha na wizi wa mitihaniPonguani ni baba yako aliyemba*ka mlevi na kuzaliwa wewe.
Mie sijasoma kabisa lakini siwezi kuwa JUHA kama wewe. Jitu lishaoza lila saa mnalitaja wale aliowamiminia lisasi mchana kweupe hawakuwa watuNaona kama unajisemea vile, usingekutwa na madhara hayo usingekimbilia matusi kwenye hoja za watu.
Bora anayetuibia na kutupatia japo kidogo kuliko waliolala mbele na viroba vya Escrow, waliokula ruzuku hata ofisi moja isijengwe, walioanza kilimo kwa hela ya chamaMagufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Mkuu funguka tupate uhondoMagufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Funguka ili hiyo Misukule ya Lumumba iingie MitiniMagufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Ngoja atujuze.Mkuu, unapenda kusikiliza uongo unoupenda, humujui huyu tapeli/muongo na habari zake za kutunga na kujifanya anajua kila kitu refer;Uongo na utapeli wake kipindi cha nyuma.
Inasikitisha sana, kuna mwingine amesema eti Magufuli alimwambia mbowe aachane na chadema ili ampe uwaziri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama ana mapungufu yake kuna vitu anajaribu kuiga kutoka kwa Magufuli ambavyo vinamuharibia sifa yake kama kuzuia watu kuwa huru kwenye habari na upinzani pia lakini mengine yuko vizuriWAKATI ULE WENGI WALIOKUWA WANALALAMIKA NI WATU WENYE UWEZO, SASA HIVI WANAOLALAMIKA NI WALALA HOI.
Unahangaika sanaWe ndo unahaingaka, huweza kuchafua oil chafu utachafuka mwenyewe, It's matter of time.
Kwa hiyo wewe fala unaonaje sasa ,huko mlikojaa maskini wa kutupwa ,una nini cha kuonesha?We kichwa box huna lolote, wewe si ndo ulikuwa unalinganisha kahama na Njombe(porini).
JPM hata kama hamtapenda, he has defined the course that the government will take for the next few years.Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?
kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!
Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo
Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo
Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Hiyo coz ni ya kukamilisha miradi ya Nchi sio ya mtu binafsi..JPM hata kama hamtapenda, he has defined the course that the government will take for the next few years.
Muda unaongea na utaendelea kuongea. Haina maana alikuwa mkamilifu...ila his stamp of authority still exists. Ndio maana kuna tofauti ya kufanya kwa vitendo na kupiga porojo
Hiyo coz ni ya kukamilisha miradi ya Nchi sio ya mtu binafsi..
Baada ya kukamilisha miradi hiyo kwa mda huu ,awamu ya pili Rais ataweka miradi yake mipya