Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

😀Mwaka mboga mkuu.
 
WAKATI ULE WENGI WALIOKUWA WANALALAMIKA NI WATU WENYE UWEZO, SASA HIVI WANAOLALAMIKA NI WALALA HOI.
 
Sasa hao mafisadi unaowazungumzia mbona wapo kwenye serikali hiihii inayoongozwa na CCM toka uhuru au kuna chama kingine kilichowahi kuunda serikali. Kiujumla CCM wote ni wezi hata huyo unayemuona mtakatifu ni mwizi tu sema wanatofautiana namna ya kuiba ie nani aliyehusika kuuza nyumba za serikali, 1.5 b. Kwenye ukaguzi wa Pro Assad zilienda wapi, zabuni za ujenzi wa uwanja wa chato nani alitangaza
 
Uwanja ulijengwa kwa trilion 1.5?
Umeuliza swali lile lile kama ambalo aliuliza Prof Assad! Na mimi nimeuliza hapa hatujapewa jibu!

Katika process ya ujenzi ulionekana kuna upotevu wa kiasi tajwa je zilikwenda wapi !?
 
Mwndazake alifanikiwa kumobilize group ambayo aliweza kui indoctrinate na wakawa waumini wake. Hao itachukua decades kufahamu hilo.

Imagine mtu aliyejipambanua kuchukia Ufisadi bado alishindwa kutoa jibu la matumizi ya Tshs 1.5 Trillion ... serikali yake ikaishia kudanganya na kumtimua CAG.

Imagine huyo mtu alituaminisha kuwa tunawadai ACACIA US $ 198 Billion (zaidi ya bajeti yetu kwa miaka 10) akaishia kukubali 300 million tena kwa mafungu.

Tatizo la watanzania wanaamini sana maneno kuliko data.
 
Naona kama unajisemea vile, usingekutwa na madhara hayo usingekimbilia matusi kwenye hoja za watu.
Mie sijasoma kabisa lakini siwezi kuwa JUHA kama wewe. Jitu lishaoza lila saa mnalitaja wale aliowamiminia lisasi mchana kweupe hawakuwa watu
 
Bora anayetuibia na kutupatia japo kidogo kuliko waliolala mbele na viroba vya Escrow, waliokula ruzuku hata ofisi moja isijengwe, walioanza kilimo kwa hela ya chama
 
Mkuu funguka tupate uhondo
 
Funguka ili hiyo Misukule ya Lumumba iingie Mitini
 
Ngoja atujuze.
 
WAKATI ULE WENGI WALIOKUWA WANALALAMIKA NI WATU WENYE UWEZO, SASA HIVI WANAOLALAMIKA NI WALALA HOI.
Mama ana mapungufu yake kuna vitu anajaribu kuiga kutoka kwa Magufuli ambavyo vinamuharibia sifa yake kama kuzuia watu kuwa huru kwenye habari na upinzani pia lakini mengine yuko vizuri
Mwaka unaoanza tutasahau shida

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
JPM hata kama hamtapenda, he has defined the course that the government will take for the next few years.
Muda unaongea na utaendelea kuongea. Haina maana alikuwa mkamilifu...ila his stamp of authority still exists. Ndio maana kuna tofauti ya kufanya kwa vitendo na kupiga porojo
 
Hiyo coz ni ya kukamilisha miradi ya Nchi sio ya mtu binafsi..

Baada ya kukamilisha miradi hiyo kwa mda huu ,awamu ya pili Rais ataweka miradi yake mipya
 
Hiyo coz ni ya kukamilisha miradi ya Nchi sio ya mtu binafsi..

Baada ya kukamilisha miradi hiyo kwa mda huu ,awamu ya pili Rais ataweka miradi yake mipya

Ndio inavyotakiwa. Nchi iwe mbele. Najiuliza kama hali halisi iko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…