Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

Ndio inavyotakiwa. Nchi iwe mbele. Najiuliza kama hali halisi iko hivyo
Wewe unaona Hali ikoje? Mataga na wazee wa ligacy mna ujinga Sana vichwani..

Juzi Waziri kazindua ujenzi wa uwanja wa Dom,angekuwa yule jamaa wa kujimwambafy,nchi yote ingehamia pale , makelele ya kujigamba meeengi utafikiri ni uvumbuzi wa kwanza duniani.

Ushamba ni mzigo mzito
 
Acha propaganda za lumumba, dalili ya mvua ni mawingu.. yako wapi mawingu?
Nchi siyo kijiji mkuu mpaka uone mabadiliko kwenye mzunguko wa maisha ya kawaida ni shughuli
Siyo shughuli ndogo

Kwa Magufuli vyuma vilianza kutukazia 2017 ndiyo impact ya Magufuli iliingia na ikaonekana na watu wote

Sasa kwa mama dalili zipo nyingi tu
Kirahisi huwezi kuona jipe muda hadi mwakani utaniambia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukishasema mataga tu, then you have lost the plot. Unajitekenya na kucheka na uwezo wako wa kuona na kufanya analysis za mambo ni mdogo. Chekelea basi kwa furaha 😀😀😀😀😀
 
Huna lolote! Hivi umesharudi TZ au bado unaosha vizee vya kizungu?
 
Taah.ira kweli hili...
 
Leta ushahidi namna zilivyokwapuliwa, kwahyo pesa kutumika bila kufuata baadhi ya taratibu ndo inakuwa imekwapuliwa? Au unajifanya hujui namna zilivyokuwa zinakwapuliwa kipindi cha nyuma.
Nenda chato uone ukwapuaji aliofanya dikteta
 
Mkuu, punguza ujuajia wa kujifanya unajua kumbe hujui, mwenzako mshana ameaibika juzi tu. Tatizo mnajifanya wajuaji kwa ku connect dot hata zisizofaa.
Mfuate Chato mkuu nasikia kajengewa hekalu 😊😊😊
 
Si kweli. Magufuli alikuwa janga la kitaifa na zao la CCM kama kawaida yake. Sijui ni ukombozi gani unaouzungumzia. Washauri mashabiki wake (MATAGA) waachane na hulka ya kumuanzishia nyuzi hapa JF kwani zitajibiwa kwa jinsi wasivyopenda.

Na, btw, wananchi, Watanzania, ndio wenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani - wakiamua. Hakuna cha “wapinzani”, nje ya wananchi, wanaoweza kufanya kazi hiyo.
 
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
 
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
Nchi imetulia kwa sababu mtu mmoja mshamba mwenye akili ndogo tu ameondoka
Uwezo huwa unajieleza huwa hailazimishwi kuonyesha watu kwamba una uwezo
Wenye akili huwa wanafanya mambo extra na kuacha mambo waliofanya yajisemee yenyewe hii ni moja ya Tambo za wenye uwezo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 


kwa zaidi ya 80%,
Watanzania tunaamini sana maneno kuliko data.

Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.

Watanzania bado tuna safari ndefu sana.
 
Kwanini Prof Assad alitolewa?
Hakutolewa bali alimaliza kipindi chake cha miaka mitano kwa mujibu wa katiba. katiba inamruhusu rais kumteua CAG huyo huyo kuendelea kwa miaka mitano mingine, lakini siyo automatic kama unavyoelekea kuamini. Huenda rais yeyote mwenye busara asingemwongezea kipindi kingine kwani inaonekana wakati mwingi alikuwa anatoa matamko kuhusu matumizi ya serikali bila kuwa amesoma mapendekezo ya bajeti yaliyopitishwa na bunge kuhusu matumizi hayo anayohoji.
 
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…