Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Bomba la Mafuta ya nani?
Kilochomshinda yeye ndio kilichowashinda wenzake.Lakini hata kama 2019 hakikukamilika 2023 kingekuwq kimekamilika. Acha chuki.
Anayejenga ni Tanzania?Uganda.
Sio kweli, yeye alikuwa anaenda vyema na hakukosa pesa ya kuwalipa Yapi merkeziKilochomshinda yeye ndio kilichowashinda wenzake.
Mtu wa maono tu ndio angeweza kubeba hiyo miradi. Tanzania bado hatuna viongozi, wachumia matumbo tupu.SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Alipokuwa anaahidi hakujua kuwa sio Tanzania inayojenga?Anayejenga ni Tanzania?
Kwasababu watu walikuwa wanamuogopa ndio maana hawakuthubutu kusema. Lakini Hadi anaenda jehanamu alikuwa kashakata moto. Inshort hakuwa na hela anayodanganya nayo watu. Nyie mliokuwa mnamkubali ndio mlikuwa mnakubali fix zake.Sio kweli, yeye alikuwa anaenda vyema na hakukosa pesa ya kuwalipa Yapi merkezi
Kumsomesha Nyankurungu2020 kuhusu Magufuli ni sawa na kumpigia guitar mbuzi. Yaani utadhani ni misukuleKwasababu watu walikuwa wanamuogopa ndio maana hawakuthubutu kusema. Lakini Hadi anaenda jehanamu alikuwa kashakata moto. Inshort hakuwa na hela anayodanganya nayo watu. Nyie mliokuwa mnamkubali ndio mlikuwa mnakubali fix zake.
Kiongizi mwenye fix bila matendo asingejenga hospital na vituo vya afya ambazo kila raia anaziona. Mv Mwanza? Hizo ndege alizonunua kwa cash? ...Kwasababu watu walikuwa wanamuogopa ndio maana hawakuthubutu kusema. Lakini Hadi anaenda jehanamu alikuwa kashakata moto. Inshort hakuwa na hela anayodanganya nayo watu. Nyie mliokuwa mnamkubali ndio mlikuwa mnakubali fix zake.
Acha tuendelee kununua magoli ya Yanga na Simba kwanza!!SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Na babako kubwasenge.😡Huyo Magufuli alikuwa kubwa jinga
Hivyo alivyofanya havikukuwa maajabu, labda useme yeye ndio ww kwanza kufanya alichofanya.Kiongizi mwenye fix bila matendo asingejenga hospital na vituo vya afya ambazo kila raia anaziona. Mv Mwanza? Hizo ndege alizonunua kwa cash? ...
Mwendazake kaondoka hata cha Dar Morogoro hakijaisha.SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Wewe ndiye unajua yuko motoni? Basi utakuwa ni mtabiri mzuri sana utueleze na matako ya mamako yamenyauka au bado yanadai?Hizi ni hisia na matamanio yako. Alisema kipande Cha Dar-Moro kitakuwa tayari Hadi November 2019, lakini hadi anaelekea jehanamu ilikuwa Bado. Bomba la mafuta alisema kufikia November 2020 litakuwa tayari lakini Hadi Leo akiwa motoni Bado. Inaonekana uliamini uongo wake.
Nenda kwanza kaangalie ya mama wa Citizen_37 halafu uje utuambieWewe ndiye unajua yuko motoni? Basi utakuwa ni mtabiri mzuri sana utueleze na matako ya mamako yamenyauka au bado yanadai?
Wewe licha ya chuki zako kwa JPM! Ila Samia uwezo wake ni mdogo sana!Kumsomesha Nyankurungu2020 kuhusu Magufuli ni sawa na kumpigia guitar mbuzi. Yaani utadhani ni misukule
Na ninayo kweli na sintoacha. Nafurahi ninavyoona mnaumia kwa maneno hayo ndipo inaponithibitishia kuwa maneno yangu ni ya kweliWewe licha ya chuki zako kwa JPM! Ila Samia uwezo wake ni mdogo sana!
Amekopa hela nyingi lakini alichofanya ni kujenga vyoo na madarasa!
Uwezo wa kuendeleza miradi ni mdogo sana!
Nikukumbushe wewe utakayeishi milele kuwa Jehanamu inakusubiri maana una maneno machafu sana juu ya JPM!