Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.

Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.

Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Mtu wa maono tu ndio angeweza kubeba hiyo miradi. Tanzania bado hatuna viongozi, wachumia matumbo tupu.
 
Sio kweli, yeye alikuwa anaenda vyema na hakukosa pesa ya kuwalipa Yapi merkezi
Kwasababu watu walikuwa wanamuogopa ndio maana hawakuthubutu kusema. Lakini Hadi anaenda jehanamu alikuwa kashakata moto. Inshort hakuwa na hela anayodanganya nayo watu. Nyie mliokuwa mnamkubali ndio mlikuwa mnakubali fix zake.
 
Kumsomesha Nyankurungu2020 kuhusu Magufuli ni sawa na kumpigia guitar mbuzi. Yaani utadhani ni misukule
 
Kiongizi mwenye fix bila matendo asingejenga hospital na vituo vya afya ambazo kila raia anaziona. Mv Mwanza? Hizo ndege alizonunua kwa cash? ...
 
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.

Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.

Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Acha tuendelee kununua magoli ya Yanga na Simba kwanza!!
 
Kiongizi mwenye fix bila matendo asingejenga hospital na vituo vya afya ambazo kila raia anaziona. Mv Mwanza? Hizo ndege alizonunua kwa cash? ...
Hivyo alivyofanya havikukuwa maajabu, labda useme yeye ndio ww kwanza kufanya alichofanya.
 
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.

Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.

Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Mwendazake kaondoka hata cha Dar Morogoro hakijaisha.

Mradi wa bwawa la Nyerere ulikadiriwa miaka mingapi utakuwa umekwisha?

Kumbe Miradi "yote" ni hiyo tu miwili?

Miradi hiyo mwendazake mwenyewe aliikuta, akaifanya alipofikia, kazi ya Mungu haina makosa.
 
Hizi ni hisia na matamanio yako. Alisema kipande Cha Dar-Moro kitakuwa tayari Hadi November 2019, lakini hadi anaelekea jehanamu ilikuwa Bado. Bomba la mafuta alisema kufikia November 2020 litakuwa tayari lakini Hadi Leo akiwa motoni Bado. Inaonekana uliamini uongo wake.
Wewe ndiye unajua yuko motoni? Basi utakuwa ni mtabiri mzuri sana utueleze na matako ya mamako yamenyauka au bado yanadai?
 
Kumsomesha Nyankurungu2020 kuhusu Magufuli ni sawa na kumpigia guitar mbuzi. Yaani utadhani ni misukule
Wewe licha ya chuki zako kwa JPM! Ila Samia uwezo wake ni mdogo sana!
Amekopa hela nyingi lakini alichofanya ni kujenga vyoo na madarasa!
Uwezo wa kuendeleza miradi ni mdogo sana!
Nikukumbushe wewe utakayeishi milele kuwa Jehanamu inakusubiri maana una maneno machafu sana juu ya JPM!
 
Nikiona majibu ya Pro Samia humu ndani nasikitika sana lakini nikicheki ile clip wanachadema wanapiga mapindikizi ya CCM huko Tunduma napata faraja 2025 wana CCM watachezea kichapo toka kwa wananchi naona hadi Polisi wameanza kuchoka kuwabeba.
 
Wewe licha ya chuki zako kwa JPM! Ila Samia uwezo wake ni mdogo sana!
Amekopa hela nyingi lakini alichofanya ni kujenga vyoo na madarasa!
Uwezo wa kuendeleza miradi ni mdogo sana!
Nikukumbushe wewe utakayeishi milele kuwa Jehanamu inakusubiri maana una maneno machafu sana juu ya JPM!
Na ninayo kweli na sintoacha. Nafurahi ninavyoona mnaumia kwa maneno hayo ndipo inaponithibitishia kuwa maneno yangu ni ya kweli
 
Back
Top Bottom