jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wapumbavu lazima muone hivyo.Huyo Magufuli alikuwa kubwa jinga
Wewe ambaye unajua mtu wa kwenda motoni na peponii, ndio utuambie na matako ya mama Yako yamelegea kiasi Gani, kuku we!!!Nenda kwanza kaangalie ya mama wa Citizen_37 halafu uje utuambie
Mtaji wa kisiasa huo 2025, utasikia jaman mpeni mama kura aende kumalizia ile miradi yetu iliyobaki. Nani kama Mama ππππ.SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Huyu mswahili hawezi chochote zaidi ya kuzunguka nje ya nchi kuomba omba na kusubiri sifa ambazo hazina msaada kwa taifaSGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Watu wanapiga pesa haswaMungu na Aendelee kuibariki nchi yetu nzuri iliyobarikiwa kila kitu ambacho mwanadamu anakihitaji kwa maendeleo yake katika kasayari haka kazuri ππΏππΏππΏ
View attachment 2787950View attachment 2787951View attachment 2787952
Majangili yote ndiyo yapo kamati kuu CCM na bungeni, hakuna mradi utakamilikaGsm,Mo,oil com,Lake oil Wana malori maelfu kupitia Kodi zetu zilizopigwa na Mafisadi wakuu utegemee SGR ikamilike kweli.
Au bwawa likamillike ili wasiuze majenereta inawezekana kweli.
Hii miradi ingekamilika kama magufuli angekuwepo
Endelea kumkaza yatakomaa!!!Yamelegea kuliko ya mama yako