Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

Sa100 nchi imeshamshinda alicheka na wahuni sasa kaungana nao hana nguvu tena kaacha wahuni wajipigie huku yeye akila bata tu na kuzunguka duniani kutalii.
 
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.

Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.

Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Mtaji wa kisiasa huo 2025, utasikia jaman mpeni mama kura aende kumalizia ile miradi yetu iliyobaki. Nani kama Mama 😀😀😀😁.
 
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.

Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.

Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Huyu mswahili hawezi chochote zaidi ya kuzunguka nje ya nchi kuomba omba na kusubiri sifa ambazo hazina msaada kwa taifa
 
Gsm,Mo,oil com,Lake oil Wana malori maelfu kupitia Kodi zetu zilizopigwa na Mafisadi wakuu utegemee SGR ikamilike kweli.
Au bwawa likamillike ili wasiuze majenereta inawezekana kweli.
Hii miradi ingekamilika kama magufuli angekuwepo
Majangili yote ndiyo yapo kamati kuu CCM na bungeni, hakuna mradi utakamilika
 
Back
Top Bottom